Dudu baya apewa simu na milion Moja kama pongezi ya kukemea ushoga

Mwangalia vzr πŸ˜‚πŸ€£
Anarembua mwenyewe na kanzu yake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nachoka sanaaa, anajificha kwenye kichaka cha zawadi kumbe beki hazikabi mwaisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Anarembua mwenyewe na kanzu yake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Nachoka sanaaa, anajificha kwenye kichaka cha zawadi kumbe beki hazikabi mwaisa πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huyo wale wale afu hii office ipo kawawa road if not magomen mpk hapa kino sjui πŸ€£πŸ˜†
 
Mkisema aanzishe taasisi ya kupambana na ushoga si itabidi ipate usajili? Nani ataipa usajili? Wafanyakazi wa hiyo taasisi watatoka wapi? Watakuwa na wajihi gani kuwa na ujasiri wa kupambana na ushoga?
Nipo mimi
 
Like una dis jitihada za kukemea ushoga in directly kwa kum envolve Dudu kwenye kashfa hiyo. Unatuachia maswali yasiyo na majibu kwa nn hutaki kukemea ushoga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…