Rhabhekhaaaa!!Nasubiri comment ya cocasti
Kwasababu ushoga/mahusiano ya jinsia moja ni mwiko kwenye jamii zetu mkuu.Nini mantiki ya kusema "ushoga/shoga" ni dharau au dhihaka au kuvunjiwa heshima kwa mwanaume/ wanaume???
Mwiko kwenye jamii yako wee na nani?Kwasababu ushoga/mahusiano ya jinsia moja ni mwiko kwenye jamii zetu mkuu.
Mimi na watanzania walio wengi mkuu.Mwiko kwenye jamii yako wee na nani?
Kumbe sio wote, ni baadhi yenu. Haya ishini humo.Mimi na watanzania walio wengi mkuu.
Sasa mkuu inabidi mtueleweshe juu ya uhalali wa msimamo wenu ili kuondoa wingu la sintofahamu tulilo nalo juu yenu.Kumbe sio wote, ni baadhi yenu. Haya ishini humo.
Mashoga ndo km hivyoo wako Lele leleeee.
Sasa sijui mtafanyajee, πππππ
Ingekua sio halali si ungeona inachukuliwa hatua, mbona kuko shwari tyuu, hilo la sintofahamu mnalo nyie waja uchwaraaa.Sasa mkuu inabidi mtueleweshe juu ya uhalali wa msimamo wenu ili kuondoa wingu la sintofahamu tulilo nalo juu yenu.
Namaanisha kimaadili mkuu.Ingekua sio halali si ungeona inachukuliwa hatua, mbona kuko shwari tyuu, hilo la sintofahamu mnalo nyie waja uchwaraaa.
πππππππ.
Misimamo ilishatolewa hadi na viongozi wakuu wa nchi, au ulipitwaaa??
Ki maadili gani? Maana wahusika wanaona ni sawa ki maadili na mienendo.Namaanisha kimaadili mkuu.
Inabidi siku moja ulete uzi utufundishe vizuri mkuu.Ki maadili gani? Maana wahusika wanaona ni sawa ki maadili na mienendo.
Nyie waja ndo muwaoneshe wahusika kuwa sio sawa, ili mpate kueleweka.
Waambie modes wazitoe wazi nyuzi zangu utakuta huko, kila kitu nilimaliza.Inabidi siku moja ulete uzi utufundishe vizuri mkuu.