Zuella zuu
Senior Member
- Jan 1, 2026
- 184
- 382
pole sana cocastic.Haya sawa, byeeee.
pole sana cocastic.Haya sawa, byeeee.
Nilikuwepo!!!Sijakuelewa tumeitana wapi?😅
Ahsanteee!!!pole sana cocastic.
Kweli pesa haiongopi, Sasa hivi huna maneno mengi😅Nilikuwepo!!!
Alamskiiiii!!!Kweli pesa haiongopi, Sasa hivi huna maneno mengi😅
Ana bahati kulikuwa hakuna social media. Ila ni kashfa kubwa ambayo haikusikika sana.Kumbeeee!!
Mbona hatariiiii.Ana bahati kulikuwa hakuna social media. Ila ni kashfa kubwa ambayo haikusikika sana.
Kwani wewe mwaka 2004 ulikuwa wapi?Mbona hatariiiii.
Nilikua kijijini kwetu, niko std 2Kwani wewe mwaka 2004 ulikuwa wapi?
Sio jamii yetu hata mbeleKwasababu ushoga/mahusiano ya jinsia moja ni mwiko kwenye jamii zetu mkuu.
Haujajibu nilichokuulizaNi maamuzi yake kuwa au asiwe, kwani wezi na majambazi wazazi wao wanatamani wawe hivyo? Kumbee?
Safi sana. Hiyo ndo skendo mbaya sana ya wakati huo.Nilikua kijijini kwetu, niko std 2
SwadaktaaaaSafi sana. Hiyo ndo skendo mbaya sana ya wakati huo.
Natamani.Haujajibu nilichokuuliza
Ebana we ndo mana kila wakati anazungumzia ushogaLakini Dudubaya naye ana skendo ya ushoga iliyoanza wakati alipompiga Mr Nice jukwaani. Habari zinasema alipata wivu aliposikia mwenzake anatembea na bwana wake muuza madini maarufu wa Arusha. Miaka ile ya 2003 hadi 2005 yule mfanyabiashara, dudu na nice walikuwa wanavuma sana kwenye kazi zao. Binafsi ninahisi Dudu anatukana wenzake kama mbinu ya kujilinda isionekane naye yumo. Kimsingi Dudubaya ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo kuhusishwa na ushoga.
Vyanzo vya kuaminika vinasema walitafunwa ila Dudu likawa lina wivu kwa mwenzake.Ebana we ndo mana kila wakati anazungumzia ushoga
NdiyoKwamba wenzake waliliwa yeye akaona wivu sio 😂