Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

Dudu Baya hapati utamu kwenye kauli zake pasipokutamka neno shoga

Chid ndiyo kamchokoza mkuu sasa ulitegemea nini...Dudu kauwasha Moto
Akaona achomekee ushoga hii imeshakuwa kawaida yake
Kila msanii na wamiliki wa vyombo vya habari na wandishi kwake ni mashoga
 
Kipaji chake hicho hicho kidogo ndiyo kilifanya akwee pipa kwenda ulaya kupiga show mkuu...nikuulize wewe maskini mwenzangu ulishawahi kukwea pipa? Je wwe unakipaji gani kidogo....I am Konki konki konk Master
Kila mwanaume anamwita shoga ifike mahali wachukie bana wamfundishe nidhamu
 
Ana tatizo la kisaikolojia
Nadhani apate washauri wazuri.
Kama Ruge na mkubwa Fela walimbania, si aimbe saiv wakiwa washakufa
Kwasasa mziki hauna connection ni kutoa Ngoma unatupia YouTube
Hakuna haja ya redio
Akina Roma mkatoliki wanaimba na nyimbo zao hazipigwi redio yeyote ila YouTube wanapata pesa nyingi na mtaani nyimbo zao zipo kama kawaida
Yeye ameshikilia kuwaita wanaume mashoga
Hayo ndo maisha yake anayoishi
Kila msanii kwake ni shoga
 
Ushoga ni jinai, na adhabu yake ni kubwa sana. Kifungo cha maisha jela au miaka 30
Kanuni ya adhabu(penal code) sura ya 16 kifungu cha 154
Sheria ya makosa ya kujamiiana ya mwaka 1998 kifungu cha 16


Nanukuu sheria inavyosema
"...mtu yeyote ambaye anamuingilia mtu yeyote kinyume cha maumbile au, anamuingilia mnyama kimwili au anamruhusu mwanaume kumuingilia yeye mwanaume au mwanamke kinyume cha maumbile, atakuwa ametenda kosa, na atawajibika kwa adhabu ya kifungo cha maisha na wakati mwingine kifungo kisichopungua miaka thelathini.."
Mbona sasa hatuoni hizo adhabu au sheria kuchukuliwa, km ni kweli.
 
Nini mantiki ya kusema "ushoga/shoga" ni dharau au dhihaka au kuvunjiwa heshima kwa mwanaume/ wanaume???

Ushoga ni hali ya mahusiano ya mapenzi baina ya wanaume. Sasa hiyo maana nyingine mnaitoa wapi?

Ushoga ni hisia za mwanaume fulani juu ya jinsia yake, shida iko wapi hapo??

Straight uchwara kazi mnayooo, mbona mashoga wako buzzy hawawazungumzii nyie, ila nyie sasa mnavo haha.

Jamanii kila mtu ana uelekeo wake wa kingono, hakuna kupangianaa. Lol
unatamani mwanao awe shoga?
 
Lakini Dudubaya naye ana skendo ya ushoga iliyoanza wakati alipompiga Mr Nice jukwaani. Habari zinasema alipata wivu aliposikia mwenzake anatembea na bwana wake muuza madini maarufu wa Arusha. Miaka ile ya 2003 hadi 2005 yule mfanyabiashara, dudu na nice walikuwa wanavuma sana kwenye kazi zao. Binafsi ninahisi Dudu anatukana wenzake kama mbinu ya kujilinda isionekane naye yumo. Kimsingi Dudubaya ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo kuhusishwa na ushoga.
 
Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake

Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga

Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga

Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga

Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha kiasi gani kwasababu nikama kimevuka mpaka

Kuwatukana wanaume mashoga kwakweli ni tusi kubwa sana na hasa linavunja heshima ya mwanaume

Sijajua ni lini wanaume kama hawa wataheshimiana wanapokuwa wakizungumza pasipokutukanana

Wakati mwingine wala mtu hukutaka kusikia neno hilo lakini Dudu Baya atakuletea huwa inakera sana

Anatukana wasanii wengi sasa sijajua mwisho rafiki yake atakuwa nani kwasababu anaowatukana ni wasanii ambao wanafanya sanaa pamoja ni sawa na kutukana wafanyakazi wenzake jambo ambalo linaudhi sana

Mwanaume mzima zaidi ya miaka 30 - 40 kumuita shoga tena kwa kashfa ni sawa na kumtukana na hata kukufuru uumbaji wa mwanaume
Shoga awe anaitwa shoga tu, haipaswi kumung'unya maneno. Kama inawauma kuitwa hivyo acheni ushoga.
Miaka michache nyuma alikuwa anatoa orodha ya mashoga hadharani, itakuwa vizuri akianza tena kuwa anatoa orodha regularly.
Mashoga wanatia kinyaa na ni laana.
 
Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake

Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga

Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga

Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga

Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha kiasi gani kwasababu nikama kimevuka mpaka

Kuwatukana wanaume mashoga kwakweli ni tusi kubwa sana na hasa linavunja heshima ya mwanaume

Sijajua ni lini wanaume kama hawa wataheshimiana wanapokuwa wakizungumza pasipokutukanana

Wakati mwingine wala mtu hukutaka kusikia neno hilo lakini Dudu Baya atakuletea huwa inakera sana

Anatukana wasanii wengi sasa sijajua mwisho rafiki yake atakuwa nani kwasababu anaowatukana ni wasanii ambao wanafanya sanaa pamoja ni sawa na kutukana wafanyakazi wenzake jambo ambalo linaudhi sana

Mwanaume mzima zaidi ya miaka 30 - 40 kumuita shoga tena kwa kashfa ni sawa na kumtukana na hata kukufuru uumbaji wa mwanaume
Chichi Man hipokrite bomboklat.
 
unatetea sana haki zenu na bado umeulizwa umekataa wewe sio shoga why? are you not proud of it?😅
Em njoo na I'd yako ya zamani mahii, hizi za mchongo sishughuliki nazo atiiii.
😂😂😂😂😂
 
Lakini Dudubaya naye ana skendo ya ushoga iliyoanza wakati alipompiga Mr Nice jukwaani. Habari zinasema alipata wivu aliposikia mwenzake anatembea na bwana wake muuza madini maarufu wa Arusha. Miaka ile ya 2003 hadi 2005 yule mfanyabiashara, dudu na nice walikuwa wanavuma sana kwenye kazi zao. Binafsi ninahisi Dudu anatukana wenzake kama mbinu ya kujilinda isionekane naye yumo. Kimsingi Dudubaya ni miongoni mwa wasanii wa mwanzo kuhusishwa na ushoga.
Kumbeeee!!
 
Back
Top Bottom