Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 18,875
- 29,427
Aliliwa pamoja na Babu Tale ambaye ni Meneja wake. Mtu aliyenusurika ni mpiga picha Lukamba peke yakeDiamond ni Shoga, tena role ya Versatile, na aliliwa na P didy, yeye mwenyewe alithibitisha.
Aliliwa pamoja na Babu Tale ambaye ni Meneja wake. Mtu aliyenusurika ni mpiga picha Lukamba peke yakeDiamond ni Shoga, tena role ya Versatile, na aliliwa na P didy, yeye mwenyewe alithibitisha.
Kasema CHICHIMAN MWIJAKU.Dudu Baya hajatamka neno shoga hapati kabisa utamu kwenye mazungumzo yake, interview zake zote ametamka shoga sasa sijajua kuna nini ndani ya ubongo wake
Dudu Baya ni mtu mlalamishi mno.Kasema CHICHIMAN MWIJAKU.
Kum dis respect chid Benz kwa kweriiiii kanikwaza...sawa mapito ya chidi na madawa kamtukana sanaa
Eti chidi kapewa vipande vya fedha kumjibu dudu.
By the way mambo Yao tuya achie wenyewe
Angetumia namna nzuri ya kukosoa lakini amemchanganya Chid Benz huko huko kila mtu anamtukana shogaKasema CHICHIMAN MWIJAKU.
Kum dis respect chid Benz kwa kweriiiii kanikwaza...sawa mapito ya chidi na madawa kamtukana sanaa
Eti chidi kapewa vipande vya fedha kumjibu dudu.
By the way mambo Yao tuya achie wenyewe
Maneno haya si mageni jijiniMimi kukaa karibu tu na shoga siwezi either nimtimue au nisepe fastaa
kuna lichoko moja sijui lilitoa wapi namba yangu likaanza kunitongoza.. aisee lilijuta
Ushoga ni laana!
Ndo tabia ya watu wavivuAmezidi sana kila mtu anamuona mbaya na kumtukana
Hatumii kauli ya heshima
Nikama anapenda sana ugomvi kwasababu hataki kuishi vizuri na wasanii wenzake anachotaka nikuwatukana tuNdo tabia ya watu wavivu
Wao hupenda kulaumu tu
Hakuna mtu atamkwamisha mwenzake kufanikiwa
Kwanza Dudu baya hana kipaji kikubwa sana
Chid ndiyo kamchokoza mkuu sasa ulitegemea nini...Dudu kauwasha MotoAngetumia namna nzuri ya kukosoa lakini amemchanganya Chid Benz huko huko kila mtu anamtukana shoga
Kipaji chake hicho hicho kidogo ndiyo kilifanya akwee pipa kwenda ulaya kupiga show mkuu...nikuulize wewe maskini mwenzangu ulishawahi kukwea pipa? Je wwe unakipaji gani kidogo....I am Konki konki konk MasterNdo tabia ya watu wavivu
Wao hupenda kulaumu tu
Hakuna mtu atamkwamisha mwenzake kufanikiwa
Kwanza Dudu baya hana kipaji kikubwa sana
Ana tatizo la kisaikolojiaNikama anapenda sana ugomvi kwasababu hataki kuishi vizuri na wasanii wenzake anachotaka nikuwatukana tu
Mimi sitafuti wa kumlaumu eti alinizuia kufanikiwaKipaji chake hicho hicho kidogo ndiyo kilifanya akwee pipa kwenda ulaya kupiga show mkuu...nikuulize wewe maskini mwenzangu ulishawahi kukwea pipa? Je wwe unakipaji gani kidogo....I am Konki konki konk Master
Chid Benz mwenyewe alisema kabla juzi akiwa East Africa TV kuwa huwa anakaa na mashoga, na kwamba ni watu wake.Angetumia namna nzuri ya kukosoa lakini amemchanganya Chid Benz huko huko kila mtu anamtukana shoga
Alijibu hilo swali kwa kusema kuwa hata baada ya Ruge kufariki bado hao wanaoua vipaji vya wenzao wapo. Mfano Babu Tale, Mkubwa Fela etcMimi sitafuti wa kumlaumu eti alinizuia kufanikiwa
Nafanya kazi zangu kama kawaida.
Kama kikwazo alikuwa Ruge, Sasa karibia miaka 10 Ruge ashakufa,
Mkubwa Fela hana ushawishi tena kwenye media
Kwanini Dudu baya haimbi na tukamsikia
Sijajua kwanini lakini kila msanii anamaita shoga
Ushoga ni jinai, na adhabu yake ni kubwa sana. Kifungo cha maisha jela au miaka 30Thibitisha Ushoga ni Jinai.
Pisi wanawaachia nyie wenye uhitaji nazo
Dudubaya bangi zinamsumbuaDudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake
Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga
Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga
Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga
Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha kiasi gani kwasababu nikama kimevuka mpaka
Kuwatukana wanaume mashoga kwakweli ni tusi kubwa sana na hasa linavunja heshima ya mwanaume
Sijajua ni lini wanaume kama hawa wataheshimiana wanapokuwa wakizungumza pasipokutukanana
Wakati mwingine wala mtu hukutaka kusikia neno hilo lakini Dudu Baya atakuletea huwa inakera sana
Anatukana wasanii wengi sasa sijajua mwisho rafiki yake atakuwa nani kwasababu anaowatukana ni wasanii ambao wanafanya sanaa pamoja ni sawa na kutukana wafanyakazi wenzake jambo ambalo linaudhi sana
Mwanaume mzima zaidi ya miaka 30 - 40 kumuita shoga tena kwa kashfa ni sawa na kumtukana na hata kukufuru uumbaji wa mwanaume
Na wewe ni shoga piaDudubaya bangi zinamsumbua