Na wewe ni shoga. Katupa jiwe gizani, naona limekupata.Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake
Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga
Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga
Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga
Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha kiasi gani kwasababu nikama kimevuka mpaka
Kuwatukana wanaume mashoga kwakweli ni tusi kubwa sana na hasa linavunja heshima ya mwanaume
Sijajua ni lini wanaume kama hawa wataheshimiana wanapokuwa wakizungumza pasipokutukanana
Wewe ni shoga?Waambie modes wazitoe wazi nyuzi zangu utakuta huko, kila kitu nilimaliza.
MAMBADudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake
Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga
Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga
Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga
Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha kiasi gani kwasababu nikama kimevuka mpaka
Kuwatukana wanaume mashoga kwakweli ni tusi kubwa sana na hasa linavunja heshima ya mwanaume
Sijajua ni lini wanaume kama hawa wataheshimiana wanapokuwa wakizungumza pasipokutukanana
Aisee hii nchi ni kubwa! Hebu ufafanue kwa kina huyo Dudubaya amemuita nani shoga, na chanzo cha ugomvi ni nini? Kuna watu nipo nao hapa, wanashangaa tu! Yaani hawaelewi chochote.Dudu Baya huwa hapati kabisa utamu pasipokutamka neno shoga kwenye kauli zake
Nikama akili ya Dudu Baya imejaa ushoga
Hakuwahi kuzungumzia swala lolote pasipokutamka shoga
Hapatagi utamu anapokuwa na wanaume pasipokuwatukana mashoga
Sijafahamu kiwango cha ushoga katika akili yake ni cha kiasi gani kwasababu nikama kimevuka mpaka
Kuwatukana wanaume mashoga kwakweli ni tusi kubwa sana na hasa linavunja heshima ya mwanaume
Sijajua ni lini wanaume kama hawa wataheshimiana wanapokuwa wakizungumza pasipokutukanana
HapanaaWewe ni shoga?
Inaweza kuwa ndo wale waleDudu Baya hajatamka neno shoga hapati kabisa utamu kwenye mazungumzo yake, interview zake zote ametamka shoga sasa sijajua kuna nini ndani ya ubongo wake
Lakini ungemfikishia Dudu Baya huu ujumbe ndiye anayetaka shoga kila anapozungumzia swala loloteNini mantiki ya kusema "ushoga/shoga" ni dharau au dhihaka au kuvunjiwa heshima kwa mwanaume/ wanaume???
Ushoga ni hali ya mahusiano ya mapenzi baina ya wanaume. Sasa hiyo maana nyingine mnaitoa wapi?
Ushoga ni hisia za mwanaume fulani juu ya jinsia yake, shida iko wapi hapo??
Straight uchwara kazi mnayooo, mbona mashoga wako buzzy hawawazungumzii nyie, ila nyie sasa mnavo haha.
Jamanii kila mtu ana uelekeo wake wa kingono, hakuna kupangianaa. Lol
Bro kinachonichukiza ni kuona mtu akitukana kila wakatiNa wewe ni shoga. Katupa jiwe gizani, naona limekupata.
Nenda Muhimbili wakakuzibue ****** ili utoe vimelea kama neno shoga linakukera
Dudu Baya amekuwa mtu wa kuonesha chuki kwa wasanii wenzake wa kiumeAisee hii nchi ni kubwa! Hebu ufafanue kwa kina huyo Dudubaya amemuita nani shoga, na chanzo cha ugomvi ni nini? Kuna watu nipo nao hapa, wanashangaa tu! Yaani hawaelewi chochote.
Kinachoniuzi bro ni matusi yakewewe na huyo dudu baya hamna utofauti, sijui nini kimekukera kwa sababu wengi tumesikia kauli zake lakini kwa sababu hazitugusi hatukuona haja ya kuanzisha mjadala. Kwa kuanzisha mjadala ni kama unachochea moto kwenye kuni.
Huwa wanaudhi sana bro kwasababu kuna wakati mwingine wala hukutaka kusikia neno hilo lakini watakuleteaHata humu kuna members washenzi, hawakamilishi comments zao bila kutaja *****. Inaonesha wanaotaja maneno hayo wanajihusisha na vitendo hivyo
Hapa si umeleta wewee, ndo najibu hapa.Lakini ungemfikishia Dudu Baya huu ujumbe ndiye anayetaka shoga kila anapozungumzia swala lolote
Kumbe ndio akili yako ilivyo?? Sasa shoga hawezi kuwa baba? Au uliambiwa Shoga ni tasa au mgumba?? LolBro kinachonichukiza ni kuona mtu akitukana kila wakati
Lakini vile vile maneno anayotoa ni machafu sana
Hakuna jambo baya kama kudhalilisha wanaume
Yeye anatamka kwa lengo la kuwadhalilisha sio kuwafundisha
Kumuita mwanaume mzima kama Diamond Platnumz shoga tena baba ni mbaya sana sio uungwana bro
Diamond ni Shoga, tena role ya Versatile, na aliliwa na P didy, yeye mwenyewe alithibitisha.Kinachoniuzi bro ni matusi yake
Mfano mm naelewa sana nyimbo za Bongo Flava na kawaida nakuwa nmeshawakubali wasanii sasa kuona wakitukanwa huwa inakera sana
Mtu kama Diamond Platnumz ni baba wa watoto watatu leo anaitwa shoga
Sasa heshima yetu kama wanaume iko wapi
Wakati mwingine wala hukutaka hata kusikia neno Shoga lakini Dudu Baya atakuletea huwa inakera sana