Mtekaji mkuu amesharudi kutoka vacation.Tusisikie Katekwa
Ni kweli, maana majuzijuzi alimlamba makofi yule tapeli kada wa ccm anayejiita manguruwe mchana kweupeKwa dudu watauwana 😄
Ova

MaitiWaafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
New version of big DUDU BAYAAkizungumza kwenye moja ya blog za mitandaoni msanii huyo mkongwe amesema kuwa inayoitwa amani tuliyonayo Tanzania ni kwa vile tu wananchi wamenyimwa elimu ya haki zao.
Amesema kwa mtanzania akiwasha runinga akaona kipindi kinaongelea mambo ya katiba anahamisha hiyo chanel haraka sana atatafuta mipira au mziki ama tamthilia ila kuongelea mambo yanayohusu mustakabali wa maisha yao wanaona hayawahusu.
Amesema hicho ndo tunatofautiana na jirani zetu kwa wenzetu asilimia kubwa ya raia wanaelewa haki zao hivyo ikitokea zinachezewa hawataki masihara kabisa.
kumbe Dudubaya ana akili!!Akizungumza kwenye moja ya blog za mitandaoni msanii huyo mkongwe amesema kuwa inayoitwa amani tuliyonayo Tanzania ni kwa vile tu wananchi wamenyimwa elimu ya haki zao.
Amesema kwa mtanzania akiwasha runinga akaona kipindi kinaongelea mambo ya katiba anahamisha hiyo chanel haraka sana atatafuta mipira au mziki ama tamthilia ila kuongelea mambo yanayohusu mustakabali wa maisha yao wanaona hayawahusu.
Amesema hicho ndo tunatofautiana na jirani zetu kwa wenzetu asilimia kubwa ya raia wanaelewa haki zao hivyo ikitokea zinachezewa hawataki masihara kabisa.
Kwani Hayati Mzee Kenyatta alisemaga nini kuhusu Watanganyika ??!Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Naunga mkono hojaMatz mengi ni Mazezeta, Simba na yanga TU! Jinga kabisa!
...mchonga anaongoza MAITIKwani Hayati Mzee Kenyatta alisemaga nini kuhusu Watanganyika ??!
Sasa ulitaka watu wafanye fujo ndio ujanja? nadhani Kenya hakuna visa sasa kama unaona wa Tz wajinga maana pamoja na wewe unaweza kuhamia Kenya kaandamane mpaka basi ila kama wewe ndio mjanja toka barabarani kafanye fujo. Maana unasema watu wajinga kwa sababu hawafanyi fujo kudai haki sasa wewe utakuwa wapi? nyumbani umekaa unatizama tu au? acheni ujinga wa kudhani uhuni ndio ujanja mambo ya kizamani.Matz mengi ni Mazezeta, Simba na yanga TU! Jinga kabisa!
kunusa nafuta ya mwenge!!!!!!Waafrika hasa watanzania wana upumbavu wa milele.
Ni kweli mtu akikukuta kijana unasikiliza radio kila wakati anakushangaa, atakwambia wee Mzee kwani.Ni kweli vijana Gen Z wa hapa Nyumbani wanaamini taarifa ya habari ni ya wazee tu.
Huwa nawasikitikia sana.
Wamenyimwa na nani? Mbona kwenye mfano wake kuna vipindi vya luninga vinavyohusu mambo ya katiba (utawala na maamuzi) na watanzania walio wengi ndio hawapendi.Akizungumza kwenye moja ya blog za mitandaoni msanii huyo mkongwe amesema kuwa inayoitwa amani tuliyonayo Tanzania ni kwa vile tu wananchi wamenyimwa elimu ya haki zao.
Amesema kwa mtanzania akiwasha runinga akaona kipindi kinaongelea mambo ya katiba anahamisha hiyo chanel haraka sana atatafuta mipira au mziki ama tamthilia ila kuongelea mambo yanayohusu mustakabali wa maisha yao wanaona hayawahusu.
Amesema hicho ndo tunatofautiana na jirani zetu kwa wenzetu asilimia kubwa ya raia wanaelewa haki zao hivyo ikitokea zinachezewa hawataki masihara kabisa.
Ameongea kweli tupuAkizungumza kwenye moja ya blog za mitandaoni msanii huyo mkongwe amesema kuwa inayoitwa amani tuliyonayo Tanzania ni kwa vile tu wananchi wamenyimwa elimu ya haki zao.