Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
- Thread starter
-
- #21
teh teh teh upunguziwe bei??Nilifikiri ukishakuwa maarufu na vitumbua ndo unapunguziwa bei?
Usiombe enzi zile kulikuwa na wale kina Kalla Pina, kila siku utasikia taa zimewakaInaelekea hili limjamaa ni hatareeee
Baada ya kama wiki nilimsikia akiojiwa na millard ayo kumbe alikimbilia dar akawa anajisifu akimshika tena ocd kinanukaNadhani alienda kujisalimisha ili yaishe.....
Kwani bado ni star huyu jamaa
Msanii Dudubaya amefunguka na kusema kuwa maisha ya kuwa maarufu ni magumu sana kwani kuna wakati unashindwa kufanya vitu ambavyo wewe unapenda kutokana na kuwa na umaarufu.
Dudubaya kupitia kipindi cha Planetbongo amekiri kuwa kuna wakati anajutia maamuzi yake ya kutaka kuwa maarufu na kuwa maarufu kwani yanamfanya aishi maisha ambayo si yake kwani akifanya vitu vingine baadaye vinageuka stori mitaani na mitandaoni.
“Kuna wakati huwa nasema kwanini nilitaka kuwa star na nikawa star kwa sababu kuna wakati mwingine unatamani kufanya jambo fulani lakini unashindwa kufanya kutokana na umaarufu wako, maisha ya umaarufu magumu sana haya mambo yanatukuta hata mtaani mfano unaweza kuwa unakaa uswahilini unakaa Manzese, Tegeta, Mwananyamala mtu mwingine anaweza kukudharua kumbe ni maisha ya kawaida kama watu wengine. Mfano mzuri mimi napenda sana mihogo na vitumbua lakini nashindwa kwenda kununua mtaani kwani nikisema niende tayari watu wanaleta skendo mtaani,” alisema Dudubaya.
Dudubaya anaonyesha kuwa maisha ya kuwa maarufu ni mzigo mzito kama ambavyo Fid Q alishawahi kusema kuwa ‘u Superstar’ ni mzigo wa mwiba ukiubeba utaumia.
Hahahaha..... mbabe aliingia mitini.Baada ya kama wiki nilimsikia akiojiwa na millard ayo kumbe alikimbilia dar akawa anajisifu akimshika tena ocd kinanuka
teh teh teh upunguziwe bei??
Sana sana ukitoa noti kubwa utaambulia kuambiwa sina chenchi rudi baadaye, wakilenga useme " no problem keep change"...
Siku hiyo polic wenge mshika ungekuta leo ni mlemavu zilikuja gar kama nane zimejaa polic ilikuwa noma kwanza bar tulikimbia kichiziHahahaha..... mbabe aliingia mitini.
Polisi wakikupania wallah utajuta.Siku hiyo polic wenge mshika ungekuta leo ni mlemavu zilikuja gar kama nane zimejaa polic ilikuwa noma kwanza bar tulikimbia kichizi
Police na amini akuna ataye kwenda mbinguni wanapiga wakikushika unasahau na jinsi yako walipiga bro wang walimsanga paka mfupa wa mguuPolisi wakikupania wallah utajuta.
Nakumbuka kuna siku alikuwa bar na washikaji zake wanakunywa akapita ocd katika wale washikaji zake mmoja alikuwa anajuana na huyo ocd akamtambulisha nipo na msani wetu dudu baya ocd alijibu ndiyo nani huyo dudu baya alimpa kichapo yule ocd sijui kesi yake iliishia wapi
Frogi izi jampingi jampingi frogi, frogi izi baunsingi baunsingi frogi..... Its me Snura of DisastersHivi Dudubaya ni nani?
Hahaha! ukimjibu hivi hata kama yupo hapa anasoma huu uzi lazma atakuwa amekutukana!Hivi Dudubaya ni nani?