Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Mambo ya chura sio??? OraytoFrogi izi jampingi jampingi frogi, frogi izi baunsingi baunsingi frogi..... Its me Snura of Disasters
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mambo ya chura sio??? OraytoFrogi izi jampingi jampingi frogi, frogi izi baunsingi baunsingi frogi..... Its me Snura of Disasters
HahahahahaNakumbuka kuna siku alikuwa bar na washikaji zake wanakunywa akapita OCD katika wale washikaji zake mmoja alikuwa anajuana na huyo ocd akamtambulisha nipo na msani wetu dudu baya OCD alijibu ndiyo nani huyo dudu baya alimpa kichapo yule OCD sijui kesi yake iliishia wapi
Utamjuaje mziki umeanza kumsikiliza diamond na alikibaHivi Dudubaya ni nani?
Watoto mna shida sana. Hao kina sijui diamond ndo kina nani? Mi niulize Kina Mbaraja Mwinshehe na Marijan Rajabu naweza kukuelewa.... Wewe nna mashaka hata kina Gurumo na Bichuka unaweza hata usiwajue.Utamjuaje mziki umeanza kumsikiliza diamond na alikiba
Kama umewaona hao heshima yako ila kama umewasikiliza nami ninawasikia mpaka kesho maana mziki wao ni wa maisha hauchujiWatoto mna shida sana. Hao kina sijui diamond ndo kina nani? Mi niulize Kina Mbaraja Mwinshehe na Marijan Rajabu naweza kukuelewa.... Wewe nna mashaka hata kina Gurumo na Bichuka unaweza hata usiwajue.
Afu kwa kukosa kwako adabu hata hujanipa shkamoo yangu
Mdogo wangu... au labda nikuite mwanangu.... hujanitaka radhi. Kuna amri ya Mungu inakuelekeza utuheshimu.Kama umewaona hao heshima yako ila kama umewasikiliza nami ninawasikia mpaka kesho maana mziki wao ni wa maisha hauchuji
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] maneno mengi sana mzee...Mdogo wangu... au labda nikuite mwanangu.... hujanitaka radhi. Kuna amri ya Mungu inakuelekeza utuheshimu.
Futa kauli yako kusema nimeujua mziki kipindi cha kina sijui diamond....
Yawezekana Diamond kalingana na binti yangu wa mwisho.
Hekima ni kukubali unapokosea na kujibu unapoulizwa. Narudia tena Dudubaya ni nani? Ana wimbo gani alouimba ili nimfahamu. (Kama yeye ni mwanamuziki)
Nachojua na kukiamini ni kuwa bado nakupenda.[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] maneno mengi sana mzee...
Upendo gani huo mpaka ushitukizwe..Nachojua na kukiamini ni kuwa bado nakupenda.
Kama moyo wako unatenda haki. Hebu jaribu kuu-uliza.Upendo gani huo mpaka ushitukizwe..
Hufai kuwa hata mchepuko..Kama moyo wako unatenda haki. Hebu jaribu kuu-uliza.
Ni sawa kama moyo wako ndo ulivokwambia. Mimi ni nani hata niubishie?Hufai kuwa hata mchepuko..
Umezaliwa juzi wewe, kumbe humu JF tunatukanana na wajukuu zetu sometimes!Dudubaya ni maarufu?
Ukiwa maarufu vitu vingi utapata bure tu.
oooh my Gad.......!!Nakumbuka kuna siku alikuwa bar na washikaji zake wanakunywa akapita OCD katika wale washikaji zake mmoja alikuwa anajuana na huyo ocd akamtambulisha nipo na msani wetu dudu baya OCD alijibu ndiyo nani huyo dudu baya alimpa kichapo yule OCD sijui kesi yake iliishia wapi
Ha ha ha dudu mbayaNakumbuka kuna siku alikuwa bar na washikaji zake wanakunywa akapita OCD katika wale washikaji zake mmoja alikuwa anajuana na huyo ocd akamtambulisha nipo na msani wetu dudu baya OCD alijibu ndiyo nani huyo dudu baya alimpa kichapo yule OCD sijui kesi yake iliishia wapi