Dudu Baya: Maisha ya umaarufu magumu sana, nashindwa kununua mihogo na vitumbua

Kwa umaarufu upi ,hata hivyo ukinunua mihogo umaarufu unashuka? Hii ni cheap popularity
 
Hahahahaha
Weeee
 
Utamjuaje mziki umeanza kumsikiliza diamond na alikiba
Watoto mna shida sana. Hao kina sijui diamond ndo kina nani? Mi niulize Kina Mbaraja Mwinshehe na Marijan Rajabu naweza kukuelewa.... Wewe nna mashaka hata kina Gurumo na Bichuka unaweza hata usiwajue.

Afu kwa kukosa kwako adabu hata hujanipa shkamoo yangu
 
Kama umewaona hao heshima yako ila kama umewasikiliza nami ninawasikia mpaka kesho maana mziki wao ni wa maisha hauchuji
 
Kama umewaona hao heshima yako ila kama umewasikiliza nami ninawasikia mpaka kesho maana mziki wao ni wa maisha hauchuji
Mdogo wangu... au labda nikuite mwanangu.... hujanitaka radhi. Kuna amri ya Mungu inakuelekeza utuheshimu.

Futa kauli yako kusema nimeujua mziki kipindi cha kina sijui diamond....

Yawezekana Diamond kalingana na binti yangu wa mwisho.

Hekima ni kukubali unapokosea na kujibu unapoulizwa. Narudia tena Dudubaya ni nani? Ana wimbo gani alouimba ili nimfahamu. (Kama yeye ni mwanamuziki)
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] maneno mengi sana mzee...
 
Kwani anaishi kwa kutazama nani kasema nini na kwanini?Utakonda bure ewe dubwasha.
 
oooh my Gad.......!!
 
Ha ha ha dudu mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…