Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EEH!anaishi ugandaKibu jamaa yuko UGANDA hapa nini?
ooooh I see...Hapo ni Tampere Finland, katika ukumbi wa Klubi. Hao akina dada ni wa kundi la Mambo Jambo.
Hapo ni Tampere Finland, katika ukumbi wa Klubi. Hao akina dada ni wa kundi la Mambo Jambo.
Ni za hawa hapa
![]()
Mambo Jambo
HUYU ni mzalishaji mzuri sana wa muziki wa kizazi kipya!D-KNOB anamuheshimu mika kama nini sijui!alimtoa dogoYap walisafiri nao... Aidha Dudu Baya muziki wake uliongozwa na kijana huyu..
Mika Mwamba![]()
Yap walisafiri nao... Aidha Dudu Baya muziki wake uliongozwa na kijana huyu..
Mika Mwamba![]()
Yap walisafiri nao... Aidha Dudu Baya muziki wake uliongozwa na kijana huyu..
Mika Mwamba![]()
Mika hawezi sahaulika na baby bianton(Dully)na wengine wengi,alikuwa kikwazo sana kwa majani enzi zile!!HUYU ni mzalishaji mzuri sana wa muziki wa kizazi kipya!D-KNOB anamuheshimu mika kama nini sijui!alimtoa dogo
mbona wana vijipu uchungu....
Mkuu Sikonge ukiangalia hiyo mashine anayotumia Mika ni kama hii au ni tofauti?Daa jamaa naona yuko na mambo latest.
Numark wametoa system yao kama ya SERATO na nilikuwa sijaona kwenye picha mtu yeyote akitumia hadi huyu jamaa. Wanadai ni poa sana na DJs wanatumia computer Mac na hicho kimashine kidogo mchezo umekwisha.
By the way, DUDUBAYA anaonekana kweli mwimbaji wa mziki wa KUFOKAFOKA maana anaonekana kama anawafokea akina dada ingawa akina dada wanaonekana kutokujali na sanasana wanafurahia. Inanikumusha wimbo wa "Danger, danger get on the floor / The nigga right here sing it / Been so long since he's been on / So please show me ".