Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 4,095
- 13,016
Msanii nguli wa bongo fleva. Dudubaya adai toka msanii mwenzie Diamond plutnumz atoke nyumbani kwa P diddy huko Marekani, akili zake nado hazipo sawa.
Maisha yamempiga anatafuta huruma kwa MACHADEMA.Msanii nguli wa bongo fleva. Dudubaya adai toka msanii mwenzie Diamond plutnumz atoke nyumbani kwa P diddy huko Marekani, akili zake nado hazipo sawa.
View attachment 3466524
Kwamba P Didy alishamaliza kazi?Dudubaya adai toka msanii mwenzie Diamond plutnumz atoke nyumbani kwa P diddy huko Marekani, akili zake nado hazipo sawa.
View attachment 3466524
Wewe utakuwa ni wa juzi humjui vizuri Dudubaya,ndio msanii pekee msema kweli na asiye na shobo na mtu yeyote.Maisha yamempiga anatafuta huruma kwa MACHADEMA.
fanyeni kazi.
Kazi zipi? Hizo za kutikiwa maeneo?Maisha yamempiga anatafuta huruma kwa MACHADEMA.
fanyeni kazi.
Sogeapo basi huku chemba tucheke wote!😂😂😂😂😂
Naona umeshaweka kambi tayari kwenye uzi wako pendwa. Ungekuwa karibu, ningekupaka kabisa na mafuta.😂😂😂😂😂
😂😂😂Sogeapo basi huku chemba tucheke wote!
Wee em sema kwelii? 😂😂😂😂Naona umeshaweka kambi tayari kwenye uzi wako pendwa. Ungekuwa karibu, ningekupaka kabisa na mafuta.
Huyo anaemuongelea hivyo alikuja kwenye game na akampita na si tu kupigwa Wasafi walimchukua kipindi ngoma zake zilivyopigwa block clouds diamond ndio akamrudisha mjini na akawa anapewa showsWewe utakuwa ni wa juzi humjui vizuri Dudubaya,ndio msanii pekee msema kweli na asiye na shobo na mtu yeyote.
Hapendi uchawa,hapendi kujikomba kwa mtu yeyote hata uwe tajiri kiasi gani.
Huyo ni mwanaharakati kitambo alikuwa anapigania haki za wasanii,hakubali unyonyaji wa aina yoyote.
Sasa unavyoongelea huruma ya Chadema inahusiana nini na mambo ya muziki au kuna siku ulishawahi kuona Chadema wamesimama barabarani wanagawa hela kwa watu wenye maisha magumu?
Hahahaha,halafu jamaa alikua ana Kwa Mwanamke, maeneo ya MikocheniJamaa hajawahi kuongea positive kwa Diamond, jealous ni ugaonjwa. Fanyeni kazi acheni ushambenga
Yaani kipindi wasafi inafunguliwa, Dudubaya alikuwa ana ngoma zilizopo mainstream kiasi cha kufungiwa na clouds?Huyo anaemuongelea hivyo alikuja kwenye game na akampita na si tu kupigwa Wasafi walimchukua kipindi ngoma zake zilivyopigwa block clouds diamond ndio akamrudisha mjini na akawa anapewa shows