Dudubaya adai Diamond toka atoke nyumbani kwa P Diddy akili zake hazipo sawa

Dudubaya adai Diamond toka atoke nyumbani kwa P Diddy akili zake hazipo sawa

Huyo anaemuongelea hivyo alikuja kwenye game na akampita na si tu kupigwa Wasafi walimchukua kipindi ngoma zake zilivyopigwa block clouds diamond ndio akamrudisha mjini na akawa anapewa shows
Ni kama nilivyoandika hapo juu Dudu baya ukimuita kwenye dili la kazi mnakubaliana mnasaini mkataba ila usitegemee kwamba atakunyenyekea au akupigie magoti ukizingua anakwambia ukweli hakwepeshi na hapindishi maelezo eti kwa vile ulifanya naye kazi huo uchawa hana.
 
Yaani kipindi wasafi inafunguliwa, Dudubaya alikuwa ana ngoma zilizopo mainstream kiasi cha kufungiwa na clouds?
Konki master si ni ngoma yake aliitoa ilikuwa chini ya Wasafi alifanya featuring na Rayvanny na ndio hiyo alitumia kufanya shows za Wasafi.
 
Ni kama nilivyoandika hapo juu Dudu baya ukimuita kwenye dili la kazi mnakubaliana mnasaini mkataba ila usitegemee kwamba atakunyenyekea au akupigie magoti ukizingua anakwambia ukweli hakwepeshi na hapindishi maelezo eti kwa vile ulifanya naye kazi huo uchawa hana.
Huyo ndo konki master
 
Huyo anaemuongelea hivyo alikuja kwenye game na akampita na si tu kupigwa Wasafi walimchukua kipindi ngoma zake zilivyopigwa block clouds diamond ndio akamrudisha mjini na akawa anapewa shows
Wewe dogo wa juzi
 
Dudu Baya siku hizi ana podcast yake pamoja na mshkaji mmoja hivi ambaye ndio kichwa kwasababu anaonekana yuko vizuri kichwani. Lakini Konki Master yeye ni full negative opinion kwenye kila topic. Namuonea huruma sana Diamond kwasababu kumshambulia ndio contents zinazotrend kwenye mitandao. Na wabongo walivyokosa elimu wanaamini kila kitu cha kwenye Internet.
Kitu anachofanya Dudu Baya ni bullying which is not okay kwa brother kama yeye
 
Back
Top Bottom