mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 10,487
- 14,559
Ni kama nilivyoandika hapo juu Dudu baya ukimuita kwenye dili la kazi mnakubaliana mnasaini mkataba ila usitegemee kwamba atakunyenyekea au akupigie magoti ukizingua anakwambia ukweli hakwepeshi na hapindishi maelezo eti kwa vile ulifanya naye kazi huo uchawa hana.Huyo anaemuongelea hivyo alikuja kwenye game na akampita na si tu kupigwa Wasafi walimchukua kipindi ngoma zake zilivyopigwa block clouds diamond ndio akamrudisha mjini na akawa anapewa shows
Konki master si ni ngoma yake aliitoa ilikuwa chini ya Wasafi alifanya featuring na Rayvanny na ndio hiyo alitumia kufanya shows za Wasafi.Yaani kipindi wasafi inafunguliwa, Dudubaya alikuwa ana ngoma zilizopo mainstream kiasi cha kufungiwa na clouds?
Huyo ndo konki masterNi kama nilivyoandika hapo juu Dudu baya ukimuita kwenye dili la kazi mnakubaliana mnasaini mkataba ila usitegemee kwamba atakunyenyekea au akupigie magoti ukizingua anakwambia ukweli hakwepeshi na hapindishi maelezo eti kwa vile ulifanya naye kazi huo uchawa hana.
Ndokusema kwamba???[emoji848][emoji848][emoji848]
Wewe dogo wa juziHuyo anaemuongelea hivyo alikuja kwenye game na akampita na si tu kupigwa Wasafi walimchukua kipindi ngoma zake zilivyopigwa block clouds diamond ndio akamrudisha mjini na akawa anapewa shows
Diamond hata kwa mwonekano tu hayuko sawaHuo muda wakujua vijana wanakulana wewe unaupata wapi Kama haushiriki?Maana hivyo ni vitu vya ndani sana na umeongea ukiwa una uhakika kabisa
Wewe umemuonea wapi mpaka useme muonekano wake haupo sawa? au ndio ile Hali yetu ya ujuaji tulionao wabongoDiamond hata kwa mwonekano tu hayuko sawa