Dudubaya ameokoka rasmi

Dudubaya ameokoka rasmi

Kiki tu
Mwamposa ni lini anatubisha watu zaidi ya kuwaibia pesa zao kwa kutumia wese, mchanga na keki?
Kwakuwa Dudubaya ni maarufu kajifanya kumtubisha.
Naamini hapa haikuwa toba ni mchezo tu. Dudubaya ana mawenge njaa zimemkaba anatafuta kujinasua while Mwamposa anatafuta wajinga awanyoe
Kongole. Hapa ni mwizi wa mchana amekutana na mwizi wa usiku.
 
Aaaaaiiiiieeeemmm koonki koonki koonki master yu panchi mi wansi ai panchi yu tripo
 
Leo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa.

Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini.View attachment 2838963

..Wakiristo jamani JITOKEZENI kuchangia Mwl. Francis Ndacha kumuwezeshe ahudhurie Mdahalo na Waislam hapa Dar tarehe 16 na 17 December 2023 katika ukumbi wa PTA SABA SABA. Mchango wako wa fedha upeleke kwa Bw Jaffari Massawe muwakilishi wake hapa Tanzania kwa namba +255757722557

View: https://www.youtube.com/live/xg7IQgi2W-E?si=cdPQNJ8TrA3xearH
 
Leo kwenye ibada ya Kawe kanisani kwa Mwamposa jamaa kaonekana kwenye TV akitubishwa.

Ni hatua njema kwa Godfrey Tumaini.View attachment 2838963

Wakiristo jamani JITOKEZENI kuchangia Mwl. Francis Ndacha kumuwezeshe ahudhurie Mdahalo na Waislam hapa Dar tarehe 16 na 17 December 2023 katika ukumbi wa PTA SABA SABA. Mchango wako wa fedha upeleke kwa Bw Jaffari Massawe muwakilishi wake hapa Tanzania kwa namba +255757722557


View: https://www.youtube.com/live/xg7IQgi2W-E?si=10VVwO7_KI5FhuYp
 
Shida ,ziki, umaskini ujinga na maradhi ni mtaji wa makanisa yetu, Kuna watu wanafikiri makanisa yanaweza kuondoa umaskini wao, maradhi yao, kuwasaidia kuolewa, kpata KAZI, kupanda cheo, kununua Kiwaninja, kujenga..................... Mweeeeee kulagha nenga.imeandikwa WATU WANGU WANAPOTEA KWA KUKOSA MAARIFA.
 
Back
Top Bottom