Dudubaya amjibu Mwakyembe, azidi kumshukia Ruge Mutahaba

Johnny Sack

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2017
Posts
8,984
Reaction score
19,288
Dudubaya amezidi kumshukia Ruge mutahaba na kusema kuwa alikuwa akiwanyonya wasanii aliokuwa anasema anawainua
Dudubaya ameendelea kusena kuwa Ruge ndio alisababisha Studio ya Bongo Records kuanguka kutokana na kutaka fedha kutoka kwa producer huyo na wasanii aliokuwa akiwarekodia

Amesema yupo tayari kwenda polisi ambako ameitwa kwenda kesho

 
dudubaya ana ushamba mwingi hakuwa na usanii wowote wa maana kipindi icho.

ile kusifiwa upuuzi wa kuwadharirisha wengine kisa vita ya mawingu na wasafi basi kaona anakubalika sana.

kama ruge alikuwa anawanyonya kwa nini hawakwenda pengine ama kuanzisha studio yao.

aache utoto, kesho yakimfika atakosa msaada.
 
Eti jamani, Konki ndiyo nini?
All in all looks ana hoja ingawa ni ya upande mmoja!
 
Dead men tale no tales

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu hawajui bali wanaongea tu, unajua ukiwa mkimya na haujibu utazushiwa kila kitu yaani mchanganyiko wa yale ya ukweli,ya uongo na ya ukweli yaliyo exaggerated. Kwa ukimya na kutokujibu wao wataamini tu eti mbona watu wanasema,so stupid.
Kwanza Ruge ndo kamrudisha tena Saida Karoli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakuwa marehemu hawezi tena kumnyonya MTU aliyehai, Huwa MTU akifariki tunaachana na maovu yake tunamsindikiza kwa mema. Hata kama marehemu alikuwa mwizi, kiafrika huwa tunamuazima sifa nzuri na kumsindikiza. Dudu jina lako lisikuathiri sana, samehe, songa mbele pambana
 
we humjui dudubaya vzr, hakuna wimbo uliobamba sana 2005 kama mpenzi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…