laptop90
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,829
- 2,294
Ni ujinga na upuuzi kumuongelea ruge ambaye ni marehemu, either kwa ubaya au kwa uzuri maana hasikii tena ya duniani.Kwakuwa marehemu hawezi tena kumnyonya MTU aliyehai, Huwa MTU akifariki tunaachana na maovu yake tunamsindikiza kwa mema. Hata kama marehemu alikuwa mwizi, kiafrika huwa tunamuazima sifa nzuri na kumsindikiza. Dudu jina lako lisikuathiri sana, samehe, songa mbele pambana