mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Mziki wa tanzania ni bubble gum musicMuziki unabadilika na pia msanii anapaswa abadilike. Dudubaya ni mwanamuziki mzuri sana ila ameshindwa kubadilika ndiyo maana amepwaya kwenye game. Wakongwe waliobadilika ni Dully Sykes, Prof. Jay, J dee na Jmoo hawa wamebadilika ndiyo maana wanaendelea kuhit mpaka leo.
Walioshindwa kubadilika ni
Afande Sele, Mr Nice, Dudu baya na Juma Nature (hawa ni wachache). Mwanamuziki mpaka kujulikana na nyimbo zake tayari huyo ni mwanamuziki. Nenda studio ukarekodi km utahit hata kusikika? Hiyo konki unayoidharau ndiyo imemtambulisha kwenye game ya muziki tena. Sijamtetea kwa kauli zake ile ni mtetea km mwanamuziki.
Rudi na usikilize nyimbo za dudubaya za zamani ndiyo utajua huyu jamaa yupo vyema ila kashindwa kubadilika kulingana na soko la muziki
Wasanii Wana heat kwa kipindi kifupi
Pesa wanapata wakiishiwa wa naanza lawamaa
Kwanza dudu Baya hajawaikuwa msaniii bora alipotoka mwanza hata kiswahili chake chnyw kilikuwa shida
Ova
Sent using Jamii Forums mobile app