Nianze tu kwa kusema R.I.P. Jasiri Ruge.Dudu Baya anachunguzwa kwa kosa la kutumia mtandao vibaya kwa kutoa lugha ya kumkejeli marehemu.Kwanza niseme sijaona sehemu amemtaja jina lake,pili msukuma na muhaya ni watani wa jadi ,hata muheshimiwa raisi aliwahi kuwakejeli kule Kagera baada ya lile tetemeko la ardhi lililotokea kwa kuwaambia kuwa wakati wa kampeni yake hakuahidi kuleta tetemeko la ardhi.Na kisha aliweza kwenda kumsaidia muathirika mmoja alieanza kukarabati kuliko kusubiri msaada wake.Dudu baya hastahili kuhukumiwa kwa alicho kifanya,kwani utani hauna mipaka.
Sent using
Jamii Forums mobile app