Sir_Mimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 7,171
- 15,760
.............Itapendeza,tusiwe biased hoji na hili!sio lazima ulie ingawa pia sio lazima ufurahie hadharani mbele ya watu wanaolia hadharani.
Ni nani aliye nyuma ya Musiba Siprani,yeye anaitisha press kabisa kuongea ujinga kwa watu walioumia iwe moja kwa moja kwenye miili au kwenye akili zao,kila mmoja psychological ana style ya ku-deal na adui yake siyo dudu hata wewe hapo unayo so kama wewe utaweza kuhuzunika na adui yako kwenye matatizo yake wengine hawapo hivyo acheni kulazimisha watu kulia.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk