mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Dudu baya.alimkataa ruge hata kabla hajafa.na baada ya kufa alisimamia msamamo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
One thing that i can agree ni kuwa it might not be the right time ku raise mapungufu ya marehemu kwa kipindi hiki cha maombolezo. Ila haibadilishi maana kwamba hakuwa anamkubali RIP before hajafa na wala hamkubali baada ya kufariki. The wise thing is just to stay quiet for the moment.Ana express his feelings kwa mtu aliyefariki au kwa wapendwa wa marehemu? mtu wako wa karibu akifa halafu anatokea mtu/watu wanamkejeli na kumdhihaki utasema wana express their feelings au sababu huyo ni mtu asiyekuhusu?
Uhuru wa kuongea upo lakini waacheni wafu waheshimiwe.
Na kuna uwezekani wcb wanamfadhili.kiongozi huyo konki ugum wa maisha ndio unamsumbua,anapewa vijisenti ili alipuke upuuzi wake
"yeye sio kichwa,yeye anaweza fichwa nikiwachora wasanii wa bongo siioni sura yake kwa picha"dudu
That's how to be a real man!Haiwezekani mtu fulani aamke tu asubuhi akwambie mpende huyu au mchukie yule.Upendo au chuki ni zao la hisia halisi za mtiririko na mapokeo ya mambo.Haupakwi kama rangi wala kung'olewa kama visiki.Dudu baya.alimkataa ruge hata kabla hajafa.na baada ya kufa alisimamia msamamo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamjui vizuri enzi hizo ukimtaja Mr.nice, basi anaefuata ni dudubaya juma nature na prof jaywe humjui dudubaya vzr, hakuna wimbo uliobamba sana 2005 kama mpenzi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuwa na sababu ya kuropoka ili wanaoomboleza wamsikie.Dudu baya.alimkataa ruge hata kabla hajafa.na baada ya kufa alisimamia msamamo wake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Now your talking, mimi wala sitaki Dudubaya ampende marehemu au ajioneshe anampenda while walikua na bifu lakini the wise thing angefanya ni kunyamaza kimya na kuendelea na mambo yake kama alivyofanya Diamond na Jaydee angalau mpaka atakapo zikwa.One thing that i can agree ni kuwa it might not be the right time ku raise mapungufu ya marehemu kwa kipindi hiki cha maombolezo. Ila haibadilishi maana kwamba hakuwa anamkubali RIP before hajafa na wala hamkubali baada ya kufariki. The wise thing is just to stay quiet for the moment.
Hakuwa na sababu ya kuropoka ili wanaoomboleza wamsikie.
kwani hakuna wengine wenye tofauti naye, si watatulia makwao kimya.
Saida Karoli muulize Felician Mutta, Ruge anahusika vipi na Saida Karoli.
Na kuna uwezekani wcb wanamfadhili.
Mwenye njaa hata ukimwambia apande transformer akuchotee mafuta umlipe atapanda tu.
Huko ni kulazimisha hali kwa kadiri ya mapenzi yenu.Kuna aina ya binadamu ambao wakikasirishwa na jambo halafu akapata nafasi ya kuonesha hisia zake ni tiba tosha.Leo hii utasema anaumiza hisia za ndugu,jamaa au rafiki wa marehemu.Je,ulipata muda wa kumuuliza Dudu aliumizwa vipi na Ruge alipokuwa hai?Kuongea hisia hasi alizonazo mtu ni njia mojawapo ya kutoa sumu mwilini.Hakuwa na sababu ya kuropoka ili wanaoomboleza wamsikie.
kwani hakuna wengine wenye tofauti naye, si watatulia makwao kimya.
Eti mpaka dadaenu Wa los Angel's nae analia wakati alikuwa anamponda daily,, bora dudu na jide wameweka unafki pembeni
Mi nasemaga kila siku moja ya janga la kitaifa ni unafiki,(pretending,fake caring).Wahuni tu hao.Hizo mila zimeandikwa WAPI tuziimbe?Mambo ya kumlazimisha mwingine ampende mtu fulani wakati hisia zake hazikubali ni zaidi ya upumbavu.Halafu naamini ni dhambi kujidai unaonesha upendo machoni wakati chuki na hasira vinawaka moyoni.
Wapi DuduBaya amefurahia kifo cha binadamu mwenzie Ruge?sio lazima ulie ingawa pia sio lazima ufurahie hadharani mbele ya watu wanaolia hadharani.
hivi unachoongea unakijua au umeanza Lin kujua huu mzki?kiongozi hao ote unaowaongelea washakufa kimusic sa kilichobakia kwao ni mapovu tu mbona kipindi anachukua zile tuzo hakusema hayo yote{jide}
nao wakina vanexxxxxa,nandy,ruby nk ndo wameteka soko yeye amebakia na kinyongo tu
Hakuna sehemu Dudubaya kamtaja Ruge kwenye miropoko yake. Hakuna!Hakuwa na sababu ya kuropoka ili wanaoomboleza wamsikie.
kwani hakuna wengine wenye tofauti naye, si watatulia makwao kimya.
Kwenye jamii zetu kuna watu wa ajabuajabu sana.Na ndiyo maana wale wanaokuwa karibu na mimi huwa wanapata taabu sana.Mi nasemaga kila siku moja ya janga la kitaifa ni unafiki,(pretending,fake caring).
Sent using Jamii Forums mobile app