Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Mshana Jr.Kumbe wengi mnalaumu hata bila kuwa na ushahidi na mnachanganya mambo. Ruge alimtapeli wapi Saida wakati aliyemtapeli ni Felician yule wa FM studios aliye msainisha mkataba kuwa nyimbo ni mali yake.
Nianze tu kwa kusema R.I.P. Jasiri Ruge.Dudu Baya anachunguzwa kwa kosa la kutumia mtandao vibaya kwa kutoa lugha ya kumkejeli marehemu.Kwanza niseme sijaona sehemu amemtaja jina lake,pili msukuma na muhaya ni watani wa jadi ,hata muheshimiwa raisi aliwahi kuwakejeli kule Kagera baada ya lile tetemeko la ardhi lililotokea kwa kuwaambia kuwa wakati wa kampeni yake hakuahidi kuleta tetemeko la ardhi.Na kisha aliweza kwenda kumsaidia muathirika mmoja alieanza kukarabati kuliko kusubiri msaada wake.Dudu baya hastahili kuhukumiwa kwa alicho kifanya,kwani utani hauna mipaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Subiri yakukute kwa nduguyo wa damu.. halafu uje kuandika tena humu.
Kwa sasa fukia nyuso yako
Wewe unajua mtani wa mhaya au unaongea tu? Msukuma mtani wake ni Mzaramo na watu wa pwani siyo mhaya. Mhaya mtani wake ni akina Genta na makabila yote ya Mara pia Waha.Nianze tu kwa kusema R.I.P. Jasiri Ruge.Dudu Baya anachunguzwa kwa kosa la kutumia mtandao vibaya kwa kutoa lugha ya kumkejeli marehemu.Kwanza niseme sijaona sehemu amemtaja jina lake,pili msukuma na muhaya ni watani wa jadi ,hata muheshimiwa raisi aliwahi kuwakejeli kule Kagera baada ya lile tetemeko la ardhi lililotokea kwa kuwaambia kuwa wakati wa kampeni yake hakuahidi kuleta tetemeko la ardhi.Na kisha aliweza kwenda kumsaidia muathirika mmoja alieanza kukarabati kuliko kusubiri msaada wake.Dudu baya hastahili kuhukumiwa kwa alicho kifanya,kwani utani hauna mipaka
WSent using Jamii Forums mobile app
Na mwambie, hawa Wasukuma sisi ndio watani zetu kwa sababu tulikuwa tunawapaga maji ya kupoza koo wakati wametandikwa minyororo wakielekea ama Unguja au Bagamoyo! Yaani Waskuma na Wanyamwezi uboya hawakuanza leo (au na wewe umo?)! Mibaba kweli kweli lakini ilikuwa inakubali kuburuzwa kutoka Usukumani hadi Pwani na minyororo shingoni bila kufanya attempt ya resistance!Wewe unajua mtani wa mhaya au unaongea tu? Msukuma mtani wake ni Mzaramo na watu wa pwani siyo mhaya. Mhaya mtani wake ni akina Genta na makabila yote ya Mara pia Waha.
Ningekuwa msukuma nisingekuja fasta kubisha. Imagine Kinjeketile alimudu resistance ya wajerumani lakini hawa walikuwa wakisombwa na kuuzwa na wazazi na watemi wao. Ila tuseme ukweli hata nyinyi pwani mlionja joto. Nyinyi mlikuwa mnapelekwa Uarabuni na kuh...w. ili msizae na wake za waarabu.Na mwambie, hawa Wasukuma sisi ndio watani zetu kwa sababu tulikuwa tunawapaga maji ya kupoza koo wakati wametandikwa minyororo wakielekea ama Unguja au Bagamoyo! Yaani Waskuma na Wanyamwezi uboya hawakuanza leo (au na wewe umo?)! Mibaba kweli kweli lakini ilikuwa inakubali kuburuzwa kutoka Usukumani hadi Pwani na minyororo shingoni bila kufanya attempt ya resistance!
Halafu unajua nilitaka kutoa mfano huo huo wa Kinjeketile! Wajerumani na mibunduki na jeshi lao lakini watu wakasema "no way"!!Ningekuwa msukuma nisingekuja fasta kubisha. Imagine Kinjeketile alimudu resistance ya wajerumani lakini hawa walikuwa wakisombwa na kuuzwa na wazazi na watemi wao. Ila tuseme ukweli hata nyinyi pwani mlionja joto. Nyinyi mlikuwa mnapelekwa Uarabuni na kuh...w. ili msizae na wake za waarabu.
Mbona huko kanda ya usukumani hakukuwa na soko la watumwa badala yake walikuwa wanasombwa kutoka kigoma tabora kilwa hukoNingekuwa msukuma nisingekuja fasta kubisha. Imagine Kinjeketile alimudu resistance ya wajerumani lakini hawa walikuwa wakisombwa na kuuzwa na wazazi na watemi wao. Ila tuseme ukweli hata nyinyi pwani mlionja joto. Nyinyi mlikuwa mnapelekwa Uarabuni na kuh...w. ili msizae na wake za waarabu.
Marehemu huko roho yake inatanga tanga na kushangaa serikali inavyohangaika na upumbavu,umseme vizuri au vibaya marehemu harudi tena ndio ameenda hapo tusubiri decaying process tu!
Sent using Jamii Forums mobile app