Joselela
JF-Expert Member
- Jan 24, 2017
- 6,109
- 8,080
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mwambie, hawa Wasukuma sisi ndio watani zetu kwa sababu tulikuwa tunawapaga maji ya kupoza koo wakati wametandikwa minyororo wakielekea ama Unguja au Bagamoyo! Yaani Waskuma na Wanyamwezi uboya hawakuanza leo (au na wewe umo?)! Mibaba kweli kweli lakini ilikuwa inakubali kuburuzwa kutoka Usukumani hadi Pwani na minyororo shingoni bila kufanya attempt ya resistance!
Nenda makumbusho uone majina ya akina ngosha walivyowengi. Nenda Bagamoyo uone mazalia ya watumwa waliookolewa na walikotokea.Mbona huko kanda ya usukumani hakukuwa na soko la watumwa badala yake walikuwa wanasombwa kutoka kigoma tabora kilwa huko
Hao ni wanyamweziNenda makumbusho uone majina ya akina ngosha walivyowengi. Nenda Bagamoyo uone mazalia ya watumwa waliookolewa na walikotokea.
Haha mkuu kwani washirazi ni watu wa wapi au ndo weusi kama yule Karume wa kwenye shilingi 200??Halafu unajua nilitaka kutoa mfano huo huo wa Kinjeketile! Wajerumani na mibunduki na jeshi lao lakini watu wakasema "no way"!!
Halafu unasema wa Pwani kufanyaje?! Unajua Mwarabu alikuwa mjanja sana?! Mwarabu hakuwabughudhi wenyeji na ndio maana huwezi kusikia vita dhidi ya Mwarabu! Na ndio maana kule Unguja watu wakafikia kujiita eti Washirazi wakati ni weusi tiii; ili mradi tu kujitofautisha na weusi kutoka bara ambao ndio walilionja joto la Mwaarabu! Kwa kiasi kikubwa, wenyeji hawakuhusishwa kwenye kuuzwa utumwani! Chukulai historia ya Waajemi pale Kilwa; walikaa karne kadhaa hadi walipokuja kushanmbuliwa na Wareno lakini sio na wenyeji wa Kilwa ambao walikaa nao kwa amani!
Yaani ali-apply kanuni ya "unapokula na kipofu!"
Washirazi ni kutoka Ghuba ya Uajemi, kwa neno rahisi ni wale wenye asili ya Iran manake ndio wa kwanza kuingia East Africa enzi hizoooooo!Haha mkuu kwani washirazi ni watu wa wapi au ndo weusi kama yule Karume wa kwenye shilingi 200??
Pale Kilwa ni kama ilivyokuwa Bagamoyo na Unguja! Pale hakuna aliyesombwa bali pale akina Ngosha ndo mlikuwa mnapigwa mnada kama viroba vya pamba!!Mbona huko kanda ya usukumani hakukuwa na soko la watumwa badala yake walikuwa wanasombwa kutoka kigoma tabora kilwa huko
Sasa ndugu yangu mbona mimi hapa nchini ni wa Kuja tu kutokea kisangani zaire iweje nami nijumlishwe na kina king musukumaPale Kilwa ni kama ilivyokuwa Bagamoyo na Unguja! Pale hakuna aliyesombwa bali pale akina Ngosha ndo mlikuwa mnapigwa mnada kama magunia ya pamba!!
Kwani wewe unaonaje Mkuu
Basi utakuwa miongoni mwa wale waliokuwa wanaburuzwa kutoka Kigoma!!!Sasa ndugu yangu mbona mimi hapa nchini ni wa Kuja tu kutokea kisangani zaire iweje nami nijumlishwe na kina king musukuma
Alikuwa direct na katika baadhi ya clip anasikika kabisa akimtaja.
kanisa limemtuma katekista.....Alikuwa direct na katika baadhi ya clip anasikika kabisa akimtaja.