Mme Mwenza
JF-Expert Member
- Feb 6, 2025
- 2,950
- 4,285
safi sana MAMBA.
Y B W Y B
Y B W Y B
😀😀😀Ni lazima aseme hayo maneno
SI mnasemaga maskin na mlevi watu wana mawe na hawajioneshiMh, huyu Hela za pikipiki hizo katoa wapi?!!!!!
Unajua huyo kijana,yeye anataka watu wote ambao yeye ana amini kua wapo kama yeye,waendelee tu kua kama yeye siku zote!Wewe kiboko una majibu mazuri yaliyonyooka
Naona umepata uhalali wa kuipotezea YBWYBHili jibu kumpenda shule, yaani kwa vile yeye bongolala kakosa hela anahoji wengine wanapata wapi!
Umekimbilia kunitafsiri kwa tafsiri zako, Haina shida.Unajua huyo kijana,yeye anataka watu wote ambao yeye ana amini kua wapo kama yeye,waendelee tu kua kama yeye siku zote!
Kwenye maisha hua hakuna mwenzako hata siku moja,kila mtu ana play part yake kwa njia zake.
🤣🤣🤣Kaupiga mwingi, wenye marinda tu ndio tunaelewa.
Angalizo, usije kukimbia hii comment siku mojaKawasaidia vijana kulinda migongo yao
AmejitahidiSI mnasemaga maskin na mlevi watu wana mawe na hawajioneshi
haswaa huu ukweli mchunguUnajua huyo kijana,yeye anataka watu wote ambao yeye ana amini kua wapo kama yeye,waendelee tu kua kama yeye siku zote!
Kwenye maisha hua hakuna mwenzako hata siku moja,kila mtu ana play part yake kwa njia zake.
Mbona watu mnakuwa na fikra za kimaskini sana? Kwamba Dudu Baya kununua bodaboda kuna mshinda?Basi kuna mwanasiasa yuko nyuma yake ndo anapush agenda zake kwa mgongo wa dudubaya.
Mbona kama unatamani kusikia mwamba anapumuliwa? Linda mgongo.🤣🤣🤣
Usilolijua ni sawa na usiku wa Giza, vipi kama mgongo ndo umeleta hizo pikipiki?!! Utakimbia ukijasikia hivyo siku Moja?!! Kuna watu mitaani tunawaita 'senge temi'......Wana misuri na anaweza akakukunja kibabe, akishakufikisha pembeni anakuamuru umuingilie. Tumewaona sana maeneo ya buguruni hao muda flani.
Hamna, natoa tahadhari tu.Mbona kama unatamani kusikia mwamba anapumuliwa? Linda mgongo.
Safi sana apewe anafaa kuwakilishaTaratibu mwishowe utasikia anagombea Ubunge...