Dudubaya kachoka ile mbaya wasanii wetu inasikitisha

Huyu si alikula life ban la kutoshiriki activities zozote za sanaa, hilo tangazo tu kwanza nimecheka sana halafu hapo ukute Dudubaya kanunuliwa chupa mbili tu za Faru John ndio malipo ya kutumbuiza
 
Ameshajikatia tamaa ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

One love
 
Haya maisha ni zaidi ya shoti ya umeme 😆😆
 
Afu jamaa tuseme tu yuko out of ulingo ata wampige jek namna gani hanyenyukiiii kwanza naona akili imempungukia kabisa afu ivi yeye ndo alifutiwa usanii?
Ulevi kupita kiasi ni mbaya mno saa 24 amelewa
 
Yaani tatizo kubwa la yeye nililoliona ni ulevi tu

Unajua kuna tofauti kati ya unywaji naulevi
 
Nilidhani yule aliyekuwa anamwita mnyonyaji alipokufa maisha yake yatakuwa na afadhali ataanza kuwika upya na kupiga mishow mikali mikali.
Ilisikika sauti ya jamaa flani aliyekuwa akisoma tangazo la show ya dudu bay konk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…