Mtumpole
JF-Expert Member
- Aug 30, 2010
- 2,278
- 1,288
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujasoma vizuri, wameandika WAKISHRIKIAAlieandaa hilo Tangazo...eti kushirikiana na WCB[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Sio ujasoma vizuri...ni Hujasoma vizuri
DuduBaya anarekodi ngoma zake WASAFI ndio maana wamemtambulisha hivyo nadhani ana mkataba kuleHuyo mlevi anapiga show kwa malipo ya pombe.
Hao waandaaji wahuni eti show imeandaliwa na WCB alafu dudubaya anatambulishwa kama msanii wa Wasafi 🤣
Hahah imebidi nirudi juu kutazama vizuri!!!Hilo tangazo konki faya
Picha wame screenshot google chrome dah.
Kumepoa sana pande hizo.
20%, Matonya, H-Baba,Sikio la kufa daz baba, chidi benz, dudu baya wanatembelea rim
Ameshajikatia tamaa ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jana nimejionea laivu alikuwa chimbo fulani alikuwa ameandaliwa kushusha mbonge la shoo katika bar fulani mkoani geita
View attachment 1531947
Mimi ni moja ya watu waliokuemo kwenye bar hiyo tukipata 1.2
Dudubaya pamoja na kuandaliwa lakini mapema tu alikua kalewa chakali yaani mpaka huruma hadi kufikia kushindwa kutumbuiza
Kingine niliona dudubaya amesha jikatia tamaa lakini bado mapema anakubalika
Yaani tatizo kubwa la yeye nililoliona ni ulevi tuHuyu jamaa namuonea huruma sana kwa sababu WCB walishamrudisha kwenye gemu kiaina badala awe "smart" atumie hiyo "opportunity" a.k.a mbeleko ya chuma aendelee kupata mkate wake wa kila siku japo kidogo yeye akajiona kafika akaanza kutukana kila mtu kwenye mitandao hata wale waliokuwa wanamkosoa kwa nia nzuri ya kumjenga. Ndio basi tena huyo kwani bahati haiji mara mbili labda uwe kijukuu cha mtume kama Laizer.
Nyambaf kwel[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Huko inaonekana kijiji kizima wametoka jela.
Kama Dudubaya anatamba kwao, maana yake nini?Nyambaf kwel[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani kilichomfurahisha ni Mwandishi kutokuwa makini kwa maneno yake mfano badala ya neno ZAIDI yeye kaandika DHAIDI, badala ya neno CLUB Yeye kaandika 'CLAB' Nadhani ndo kilichomfurahisha.Umeipendea nini mkuu hiyo Masasi Club?