rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
WCB kwa mbaaliii...wee ulisikiaa wapiiiiAlieandaa hilo Tangazo...eti kushirikiana na WCB[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WCB kwa mbaaliii...wee ulisikiaa wapiiiiAlieandaa hilo Tangazo...eti kushirikiana na WCB[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-G920P using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti kwa mawasiliano "dhaidi"
Mimi naona aliyeandaa hilo tangazo kachoka zaidi kuliko Dudubaya.
Picha zenyewe walizotumia wamefanya screenshot sehemu.Eti kwa mawasiliano "dhaidi"
Mimi naona aliyeandaa hilo tangazo kachoka zaidi kuliko Dudubaya.
Wanakijiji wameona picha za dudubaya akiwa kwenye wasafi tour na jamaa akawa msemaji sana kuhusu wasafi na diamond hadi wameamini ni msanii wa wasafi 🤣Dah kuna Tanzania bado ina rais Nyerere! Asa kama kweli dudubaya bado anakubalika!!!!???!!! Afu anatoka WCB?????
Halafu jamaa tuseme tu yuko out of ulingo hata wampige jeki namna gani hanyenyukiiii kwanza naona akili imempungukia kabisa halafu hivi yeye ndio alifutiwa usanii?Wanakijiji wameona picha za dudubaya akiwa kwenye wasafi tour na jamaa akawa msemaji sana kuhusu wasafi na diamond hadi wameamini ni msanii wa wasafi 🤣
Wameshamfungulia kuendelea na sanaa ila hakuna kinachoendelea kwakua amewatukana watu wote kwenye tasnia hata akirekodi miziki yake anasikiliza geto na wanywa banana wenzake.Afu jamaa tuseme tu yuko out of ulingo ata wampige jek namna gani hanyenyukiiii kwanza naona akili imempungukia kabisa afu ivi yeye ndo alifutiwa usanii?
Umeipendea nini mkuu hiyo Masasi Club?Mimi nimependa "MASAS CLAB" tu
Huwi!! tobaaKajikatia tamaa alikua akitaka kukojoa ana kojoa tu hadharan