Dudubaya kachoka ile mbaya wasanii wetu inasikitisha

Dudubaya kachoka ile mbaya wasanii wetu inasikitisha

Huko ndiyo ccm uwa inaongoza, Mbunge wake Musukuma ,sawa tu wajinga wajinga wengi mitaa hiyo.
 
Wanakijiji wameona picha za dudubaya akiwa kwenye wasafi tour na jamaa akawa msemaji sana kuhusu wasafi na diamond hadi wameamini ni msanii wa wasafi 🤣
Halafu jamaa tuseme tu yuko out of ulingo hata wampige jeki namna gani hanyenyukiiii kwanza naona akili imempungukia kabisa halafu hivi yeye ndio alifutiwa usanii?
 
Afu jamaa tuseme tu yuko out of ulingo ata wampige jek namna gani hanyenyukiiii kwanza naona akili imempungukia kabisa afu ivi yeye ndo alifutiwa usanii?
Wameshamfungulia kuendelea na sanaa ila hakuna kinachoendelea kwakua amewatukana watu wote kwenye tasnia hata akirekodi miziki yake anasikiliza geto na wanywa banana wenzake.
 
Huyo show aendelee kufanya huko huko mikoani kwa Dar hawezi kupata watu hata afanye show bure
 
Huyu jamaa namuonea huruma sana kwa sababu WCB walishamrudisha kwenye gemu kiaina badala awe "smart" atumie hiyo "opportunity" a.k.a mbeleko ya chuma aendelee kupata mkate wake wa kila siku japo kidogo yeye akajiona kafika akaanza kutukana kila mtu kwenye mitandao hata wale waliokuwa wanamkosoa kwa nia nzuri ya kumjenga. Ndio basi tena huyo kwani bahati haiji mara mbili labda uwe kijukuu cha mtume kama Laizer.
 
Back
Top Bottom