Mama_Aheshimiwe
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 2,746
- 4,165
Ndio kaokoka sasa
Sijui kama una mamlaka ya kuusemea wokovu anaopokea mtu maana hilo ni tendo la IMANI
Sijui kama una mamlaka ya kuusemea wokovu anaopokea mtu maana hilo ni tendo la IMANI
Mwamposa anatafuta publicity ama? Maana Dudu baya pale hakuna mlokole. Ataacha kabisa Konyagi?