Dudubaya ndani ya kanisa la Mwamposa

Dudubaya ndani ya kanisa la Mwamposa

Huyu Mwamposa ana nini cha ajabu? Hadi Ruge aliokoka akawa anasali na kuombewa na Mwamposa.

NI MAMBO YA KUPEANA KIKI NA PUBLICITY.

ILA PIA NINGEBAHATIKA KUMUONA HUYO DUDU BAYA NINGEMSHAURI AACHANE NA HILO JINA LA "DUDU BAYA" MAANA NAHISI NALO LIMECHANGIA KUMFIKISHA HAPO ALIPO.
 
Bado sijaamini masikio yangu..hivi in kweli huyu jamaa kaamua kuokoka kweli au ndio maigizo ya kutafutiana kiki...kasema amezaliwa na kuwa kiumbe kipya
Achana na imani za watu tafuta pesa
 
Ivi mnajua maana ya kuokoka???
myb mnazungumzua kuongoka
 
Kesho tusije sikia tu kwamba walilipana kuja peana kick
 
Write your reply..".pepo nakutoa ndani ya kijana huyu choma moto fire fire fire konki faya'""😀😀
 
Screenshot_20190827_114822_com.instagram.android.jpg
 
Back
Top Bottom