Dudubaya ndani ya kanisa la Mwamposa

Ni padre ambaye alimlea enzi hizo dudu a anasomea ubroda kule morogoro
Mkuu,miaka ya 2009 hv kuna brother alkua rafiki yangu sana alkua na jina ilo,alkua anatania sana kwao kisiwani ukerewe.,
Nara nyngi alkua anaenda pia kufundsha mashuleni vipindi vya dini,je anaweza kua ndo huyu mkuu kwa details hizo?
 
Huyo padri ni muitaliano.
 
Bado sijaamini masikio yangu..hivi in kweli huyu jamaa kaamua kuokoka kweli au ndio maigizo ya kutafutiana kiki...kasema amezaliwa na kuwa kiumbe kipya

Kwani haiwezekani yeye kuokoka?
 
Huyu Mwamposa ana nini cha ajabu? Hadi Ruge aliokoka akawa anasali na kuombewa na Mwamposa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…