Dudubaya: Nikimuacha mwanamke lazima achizike

Muongo mkubwa wewe Dudubaya.
Mbona mie sijachizika?
Nime-date sana na wewe, the first time unakutana nami pale Violla night club Tegeta Kibaoni next to Jay Pub enzi hizo.
Enzi hizo unatembea na bodyguards zako kukulinda!
Nimedumu kwenye mahusiano na wewe si chini ya mwaka na nusu huku mkishare penzi na Adam Kuambiana (r.i.p), kila siku kukimbizana kule Matembele bwawa nyuma ya Violla.

Niliachana nawe kwa kuwa ulikuwa na ugomvi usio na kichwa wala miguu.
Na mpaka leo, sikukumbuki kwa lolote, liwe baya au zuri.
Kama unanisoma umiza kichwa utanikumbuka....mdada flani curvy mwenye makalio, ulikuwa unaniita Teacher wa Kuambiana.
Kaa kimya....usijishaue.
Naota au??!![emoji42]
 
Looh.....madam. Naona ex kakutoa mafichoni
 
kama wanawake wenyewe ni kama yule alieimba nae "nakupenda tu jinsi ulivyo" ataachaje kumlilia?! Maana yule anaonekana kidogo dish limeyumba.
 
Back
Top Bottom