tpaul
Platinum Member
- Feb 3, 2008
- 27,843
- 29,350
Msanii nguli mstaafu, Dudubaya Mamba 24, ameanika ukweli uliojificha nyuma ya sanaa ya umiss na urembo. Ni ufuska mtupu! Aidha, amesema kuwa wasichana wengi wa vyuoni ni machangudoa na malaya wa kutupwa!
Katika kusisitiza hilo, amesema wasichana wanaingia kwenye urembo wakiwa hawana kitu na kuishia kudinywa na mapedejee ili kupata sapoti ya vifaa vya urembo. Vilevile, wasichana wa vyuoni huishia kudinywa na wahadhiri wakware ili wawape marks za bwerere wapate digrii za chupi. Sitaki kukupotezea muda; hebu msikilize wewe mwenyewe hapo chini mkuu:
MAONI YANGU
Siku za nyuma kuna mhitimu mmoja wa chuo aliwahi kuniambia kuwa idadi kubwa ya wasichana wanaojiuza kule Kimboka by Night, maeneo ya Buguruni wanatokea chuo cha UDSM na baadhi yao hutokea IFM na vyuo vya jirani. Nilisita kumuamini kwa kuwa sikuwa na utafiti wa kutosha. Kufuatia huu utafiti wa Dudubaya, sasa naamini kuwa wasichana wa vyuoni ni malaya wa kutupwa. Ikiwa mtu yupo makini na ndoa yake, namshauri asimuoe mwanachuo. Ukikaidi, utakuja kufa kifo kibaya sana kwa kuoa malaya.
Nawasilisha.