Dudubaya: Umiss ni umalaya; wasichana wa vyuoni ni machangudoa

Dudubaya: Umiss ni umalaya; wasichana wa vyuoni ni machangudoa

Aisee huyu jamaa hata akiwa anaongea utumbo mimi najikuta namsikiliza mpaka mwisho, sijui ni jinsi anavyowasilisha ujumbe wake na anavyoongea
Mnafanana tabia ndio maana, no aghalabu mtu kuvutiwa na mtu ambaye they can’t relate with.

🌝
 
Ukikaidi, utakuja kufa kifo kibaya sana kwa kuoa malaya.
Mimi nitajua siku moja nitaoa malaya ila sharti moja tu sipendi malaya msaliti, mengine yote tutavumiliana ila sio usaliti. Usaliti sio kitu kizuri.

Na wanawake wale wanaojifanya sio malaya ndio mabingwa wa kusaliti yaan ndio wasaliti wakubwa kuliko walivyo malaya.

Malaya wana heshima sana, malaya wana nidhamu ukienda nao sawa, kikubwa wewe mpe hela tu kila unapojisikia unataka kukojoa mpe hela.

Bora uoe malaya. Oa malaya wako mmoja uliempenda weka ndani ukijisikia kukojoa mpe hela kojoa. Simple sana, achana na hao wanaojifanya sio malaya ila ni wasaliti wakubwa mno utalea mimba sio ya kwako na mtoto anazaliwa sio wa kwako na huyo uliedhani umeoa mwanamke ambae sio malaya kumbe umeoa msaliti.
 
Wewe na huyo mamba wako wote wawili hamuwajui malaya walivyo wajanja....kwa taarifa yako malaya ni waongo sana...eti anasoma UDSM?...ndio maana mnatapeliwa....
Itakuwa una elimu ya hapa na pale...
Kaka usikatae tumepita huko vyuoni tunafahamu, mademu wa vyuo wanauza nyuchi balaa
 
Upuuzi kama upuuzi mwingine, wasichana wangapi kati ya wangapi ni malaya? Umetumia njia gani kuwasoma?.. utafiti, my ars.e!
Usibishe japo si wote ila nakupa home work ndogo tu, vyuo vikifungwa nenda Dodoma zunguka kwenye mabar na clubs uliza Hali ya biashara ilivo ngumu, wateja wengi wanavyuo, ndo hao mbele ya misimbazi, hagomi kupanua nyuchi tumeishi huko tunapajua
 
Mimi nitajua siku moja nitaoa malaya ila sharti moja tu sipendi malaya msaliti, mengine yote tutavumiliana ila sio usaliti. Usaliti sio kitu kizuri.

Na wanawake wale wanaojifanya sio malaya ndio mabingwa wa kusaliti yaan ndio wasaliti wakubwa kuliko walivyo malaya.

Malaya wana heshima sana, malaya wana nidhamu ukienda nao sawa, kikubwa wewe mpe hela tu kila unapojisikia unataka kukojoa mpe hela.

Bora uoe malaya. Oa malaya wako mmoja uliempenda weka ndani ukijisikia kukojoa mpe hela kojoa. Simple sana, achana na hao wanaojifanya sio malaya ila ni wasaliti wakubwa mno utalea mimba sio ya kwako na mtoto anazaliwa sio wa kwako na huyo uliedhani umeoa mwanamke ambae sio malaya kumbe umeoa msaliti.
Sasa mkuu si afadhali msaliti atakuletea mtoto kuliko malaya atakayekuletea UKIMWI?
 
Back
Top Bottom