Dudubaya: Umiss ni umalaya; wasichana wa vyuoni ni machangudoa

Kwa hiyo wewe maneno ya dudubaya ndio utafiti wako umekamilika, kwa nini usiende ukachukua dada poa tatu halafu ukazifanyia utafiti taratibu. Suala na mwanamke kuwa malaya hata wake za watu wanajiuza tena hadi kwenye madanguro kujiuza na mtu mwenyewe na sio jamii fulani
Wadogo zangu wawili wa kike wamejazwa mimba na maprofesa na kuwapa degree za chupi. Mmoja amejazwa kule UDSM na mwingine kajazwa kule Tumaini University. Halafu watu wanakuja hapa kutetea ujinga, wakati tulioathirika wa umalaya wa chuo tuna ushahidi kuntu.
 
Bora wamejazwa mimba na maprofesor watasomeshewa watoto, Wangenjazwa na boda boda ingekuaje?
 
Umalaya hauangalii mtu anafanya shughuli gani,ni tabia ya mtu binafsi.kuna mabinti hawajafika chuo hawajui hata semester maana yake Nini ila wanagawa kama karanga.
Kuna mabinti waimba kwaya kabisa wanahubiri kwelikweli ila ukifunulowa ya sirini utastaajabu.
Umalaya ni tabia ya mtu binafsi
Wazungu wanasema ''give a dog a bad name and hang him". Nchi yenye walalahoi wengi kama yetu, wanaume wengi huwa wana-label, wanawake ambao siyo rahisi kupatikana na walalahoi majina mabaya ili kujiliwaza.
 
Hapana mkuu,

Mnawakandia sana hawa mademu kama hua umalaya wanafanya peke yao, kumbe ni Ke Vs Me 😀

Watu wataogopa kupeleka watoto chuo
Sisi hatumkandii mtu bali tunasema ukweli uliopo. Umalaya ni sifa inayojengwa na mhusika mwenyewe. Sasa kama wao hawataki kuacha umalaya sisi tukae kimya mkuu?
 
Bora wamejazwa mimba na maprofesor watasomeshewa watoto, Wangenjazwa na boda boda ingekuaje?
Maprofesa wenyewe tayari wameishakufa kwa UKIMWI na kutuwaachia ndugu mzigo wa kusomesha watoto wao.
 
Umalaya hauangalii mtu anafanya shughuli gani,ni tabia ya mtu binafsi.kuna mabinti hawajafika chuo hawajui hata semester maana yake Nini ila wanagawa kama karanga.
Kuna mabinti waimba kwaya kabisa wanahubiri kwelikweli ila ukifunulowa ya sirini utastaajabu.
Umalaya ni tabia ya mtu binafsi
Tax Bubu ya Matonya..nimeiona live live..watu ni malaya mno wamejificha humu kwenye kazi,Maofisini..kila kona.

Mkuu upo sahihi 100%kwa karne ya sasa kumechangamka mno..wanawake kwa waume wanagawa na kugawana haswa.

Mbupu zinapigwa na vipochi vinachakatwa..na ukiwaona hawafananii kabisaa..plus ongezeko la Dada zetu kuwa single Ma...ni hatari kubwa mno..
 
Wazungu wanasema ''give a dog a bad name and hang him". Nchi yenye walalahoi wengi kama yetu, wanaume wengi huwa wana-label, wanawake ambao siyo rahisi kupatikana na walalahoi majina mabaya ili kujiliwaza.
Mkuu, huu wako ni utafiti mpya ambao hauhusiani na mada iliyopo mezani.
 
Tax Bubu ya Matonya..nimeiona live live..watu ni malaya mno wamejificha humu kwenye kazi,Maofisini..kila kona.

Mkuu upo sahihi 100%kwa karne ya sasa kumechangamka mno..wanawake kwa waume wanagawa na kugawana haswa.

Mbupu zinapigwa na vipochi vinachakatwa..na ukiwaona hawafananii kabisaa..plus ongezeko la Dada zetu kuwa single Ma...ni hatari kubwa mno..
Mkuu umenena ukweli kabisa. Kuna mvuta bangi mmoja anakula demu mkali huwezi kuamini. Hali ya maisha imewafanya watu kukulana ovyo kwa sababu ya kukidhi maisha.
 
Ndio. Huyu jamaa yeye hupasua majipu tu bila kumuogopa mtu yeyote. Msemakweli ni mpenzi wa Mungu.
Kuna jamaa alinikuta namsikiliza Dudu ofisini muda wa mapumziko. Akashangaa msomi mzima unamsikiliza Dudu Baya, nikamwambia vuta kitu umsikilize bila mihemko. Dudu alikuwa anawachana wanasiasa wanafiki, nikamuuliza nyinyi wasomi mnaweza kuwa wakweli na wawazi kama huyu?! Alimkubali
 
Wazungu wanasema: Don't judge a book from its cover. Mamba24 anaongea kama mlevi lakini anasema ukweli tupu ambao hata maprofesa hawathubutu kuusema. Namkubali sana Mamba; napenda kumfuatilia kwa kuwa hoja zake zote zimejikita kwenye ukweli 💯%. Hapepesi macho hata kidogo.
 
Tax Bubu ya Matonya..nimeiona live live..watu ni malaya mno wamejificha humu kwenye kazi,Maofisini..kila kona.

Mkuu upo sahihi 100%kwa karne ya sasa kumechangamka mno..wanawake kwa waume wanagawa na kugawana haswa.

Mbupu zinapigwa na vipochi vinachakatwa..na ukiwaona hawafananii kabisaa..plus ongezeko la Dada zetu kuwa single Ma...ni hatari kubwa mno..
Kulana kimasihara😄
 
Back
Top Bottom