Drat
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 1,340
- 1,599
Ukuaji tu na exposure kwa uande wa wanachuo, i can bet hao wa kujiuza katika chuo cha watu 20,000 hawafiki hata 100.Ila kuwa na mahusiano ya hapa na pale kwa sababu za kushindwana kwa nana moja au nyingine hayo yapo tu kama tunavyoishi katika jamii pia.
Sasa form four ambae kamaliza na miaka 17 hadi 18 akikaa mtaani miaka sita yani anakuwa 24, hajaolewa unafikri anachezea mitalimbo mingapi kwa miji mikubwa, kwa uzoefu wangu kama 8 au 9. Hivyo hivyo na mwanachuo ambae hajiuzi ila anasoma na anakuwa ana mahusiano,chuo au mtaani mpaka anamaliza inaweza fika idadi kama ya mtaani.
Tatizo watu ambao wamekuwa maarufu au influetial katika jamii wanasikilizwa hata kama point zao ziko vague. Okay vipi kuhusu michapano inayoendelea katika taasisi au inayofanywa na viongozi wa dini, ukienda vaguely, utjikuta na kauli kama;
Mashehe na mapadri ni wazinzi na wanatembea na wake za watu...9WAKATI WANAOFANYA HIVYO NI WACHACHE KATI YA WENGI WANAOJITUMA KUWA SAHIHI)
Huko kwa warembo ni habari nyingine tofauti