Wasichana wa kuoa mbona wapo wengi sana mkuu. Kwanini mtu uchague kuoa changudoa (mwanachuo) wakati huku mtaani kumejaa wasichana wa kuoa?Una shauri vijana wasioe wasichana waliopo kwenye vyuo mbali mbali
Weka sasa na ushari hao vijana
Sasa waoe wanawake wa aina gani
Kwa maana hiyo wasomi wasiolewe😁
Darasa la 7 wasiolewe 😁
Single mother wasiolewe😁
Wale wasio bikra wasiolewe 😁
KATAA NDOA WANAJIZOLEA USHINDI MWINGINE 👏👏
Taja hiyo aina ya wanawake wa mtaani wanaofaa kwa ndoa kwa faida ya memberWasichana wa kuoa mbona wapo wengi sana mkuu. Kwanini mtu uchague kuoa changudoa (mwanachuo) wakati huku mtaani kumejaa wasichana wa kuoa?
Wasichana wa mtaani wanaofaa kuolewa ni wale wanaomjua na wenye hofu ya Mungu. Wasichana wa umiss na wa vyuo hawana hofu ya Mungu.Taja hiyo aina ya wanawake wa mtaani wanaofaa kwa ndoa kwa faida ya member
Na pia ni kigezo gani umetumia kusema mwanachuo yeyote ni changudoa ?
Je huko mtaani hakuna machangudoa?
Dudubaya anasema ukweli 💯% hata kama watu hawataki. Akishtakiwa kwa vitisho au hila wanasheria wa TLS watamtetea. Mwache aseme ukweli; liwalo liwe!Dudubaya japo anavyosema baadhi ni kweli, lakini ajiangalie, kuna siku atashtakiwa na atashindwa kujitetea. Au ataitishwa kwenye kamati ya maadili.
Kwa asilimia nyingi asemalo ni kweli, lakini watu hawataki ukweli usemwe, hivyo atafakari kabla neno halijamtoka mdomoni.
Kwanza dudubaya kaonyesha utafiti gani hapo?Msanii nguli mstaafu, Dudubaya Mamba 24, ameanika ukweli uliojificha nyuma ya sanaa ya umiss na urembo. Ni ufuska mtupu! Aidha, amesema kuwa wasichana wengi wa vyuoni ni machangudoa na malaya wa kutupwa!
Katika kusisitiza hilo, amesema wasichana wanaingia kwenye urembo wakiwa hawana kitu na kuishia kudinywa na mapedejee ili kupata sapoti ya vifaa vya urembo. Vilevile, wasichana wa vyuoni huishia kudinywa na wahadhiri wakware ili wawape marks za bwerere wapate digrii za chu.pi. Sitaki kukupotezea muda; hebu msikilize wewe mwenyewe hapo chini mkuu:
View attachment 3578986
MAONI YANGU
Siku za nyuma kuna mhitimu mmoja wa chuo aliwahi kuniambia kuwa idadi kubwa ya wasichana wanaojiuza kule Kimboka by Night, maeneo ya Buguruni wanatokea chuo cha UDSM na baadhi yao hutokea IFM na vyuo vya jirani. Nilisita kumuamini kwa kuwa sikuwa na utafiti wa kutosha. Kufuatia huu utafiti wa Dudubaya, sasa naamini kuwa wasichana wa vyuoni ni malaya wa kutupwa. Ikiwa mtu yupo makini na ndoa yake, namshauri asimuoe mwanachuo. Ukikaidi, utakuja kufa kifo kibaya sana kwa kuoa malaya.
Nawasilisha.
Sijui kwanini unaonglelea kwa ujumla badala ya kusema baadhiWasichana wa mtaani wanaofaa kuolewa ni wale wanaomjua na wenye hofu ya Mungu. Wasichana wa umiss na wa vyuo hawana hofu ya Mungu.
Kigezo cha mamiss na wanavyuo kutooleka ni kwa sababu ya umalaya wao (kama aliposema Mamba 24) hapo juu.
kipenzi😊Dudubaya japo anavyosema baadhi ni kweli, lakini ajiangalie, kuna siku atashtakiwa na atashindwa kujitetea. Au ataitishwa kwenye kamati ya maadili.
Kwa asilimia nyingi asemalo ni kweli, lakini watu hawataki ukweli usemwe, hivyo atafakari kabla neno halijamtoka mdomoni.
Dudubaya katoa ushauri kwa waandaaji wawe wanagharamia kila kitu. Wewe unataka mabinti zetu watopee kwenye umalaya hadi lini?Kwanza dudubaya kaonyesha utafiti gani hapo?
Hivi nyie mnajua utafiti unafananaje kweli?
Alafu umalaya ni very subjective, unachokiona wewe kinaweza kisiwe hivyo kwa watu wengine.
Acheni kupondea pondea mabinti wanaotafuta namna za kujikomboa kimaisha. Kila mtu na njia yake.
Mkuu nimekuelewa ndio maana nimesema kuwa binti anayefaa kuolewa ni yule mwenye hofu ya Mungu. Wasichana wa vyuo na mamiss hawana hofu ya Mungu. Ndio maana wanadinywa ovyo kwa sababu wanawaka tamaa ya mafanikio ya haraka.Sijui kwanini unaonglelea kwa ujumla badala ya kusema baadhi
Issue ya kuchagua mwenza wa maisha ni sensitive saana umakini unaitajika kabra ya kuyavaa ukidhani umepata kumbe umepatikana
Mwanachuo anaweza kua mama bora au baba bora kwa familia na anaweza pia kua msalaba wako
Na hata wa mtaani nae naweza kua bora kwa familia au kugeuka kua msiba vile vile muhimu kama unaamini Mungu basi mshirikishe Mungu
Na ujitahidi kua msafi na wewe uli upate kilichosafi 🤝
Japo unaweza kua safi ukapata kaniki
Dudubaya lazima asikilizwe sio kwa sababu unampenda au la, bali kwa sababu maneno anayosema ni ya kweli 💯%. Judge him by his words only and not otherwise. If he's telling the truth and ultimately healing the nation, why not buy his factual sentiments? Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni.Blanket opinions at its best!
Men are women police right? Kwanini mtu kama Dudubaya, casually tukae tumsikilize.
Niambie mrembo.. umeadimika sana..kipenzi😊
wew ndo umeadimika sikuoni kabisa,, ila leo nimefurah kuona comment yako,,,Niambie mrembo.. umeadimika sana..