Dudubaya: Umiss ni umalaya; wasichana wa vyuoni ni machangudoa

Mkuu nimekuelewa ndio maana nimesema kuwa binti anayefaa kuolewa ni yule mwenye hofu ya Mungu. Wasichana wa vyuo na mamiss hawana hofu ya Mungu. Ndio maana wanadinywa ovyo kwa sababu wanawaka tamaa ya mafanikio ya haraka.
Umalaya hauangalii mtu anafanya shughuli gani,ni tabia ya mtu binafsi.kuna mabinti hawajafika chuo hawajui hata semester maana yake Nini ila wanagawa kama karanga.
Kuna mabinti waimba kwaya kabisa wanahubiri kwelikweli ila ukifunulowa ya sirini utastaajabu.
Umalaya ni tabia ya mtu binafsi
 
Mwenetu, Factual?????

😂
 
Kuna mtu atabisha ni kweli kbs sipingi ata yule miss wa sasa kagegendwa sana hadi kushida (rushwa ya ngono)
 
Nakuelewa mkuu. Lakini Mamba24 yeye ameamua ku base kwa wasanii na wasomi kama kioo cha hawapaswi kutopea kwenye uchangudoa na umalaya. Namfahamu mbunge mmoja wa viti maalumu anayegawa mbunye kama karanga kisa tu apate uteuzi. Jamii imeharibika kila mahali mkuu.
 
Kuna mtu atabisha ni kweli kbs sipingi ata yule miss wa sasa kagegendwa sana hadi kushida (rushwa ya ngono)
Mamba anasema ukweli 💯%. Ukiona mtu anampinga ujue naye sio msafi.
 
Taja hiyo aina ya wanawake wa mtaani wanaofaa kwa ndoa kwa faida ya member

Na pia ni kigezo gani umetumia kusema mwanachuo yeyote ni changudoa ?
Je huko mtaani hakuna machangudoa?
Mtaani machangudoa wapo ila tutawazungumzia siku nyingine Leo acha tuzungumzie wanachuo na mamiss kwanza. Ukwel mchungu, wasiouza uchi vyuoni ni asilimia moja tu labda lakin most of them ni wauza uchi Tena kwa bei rahisi. Hili halihitaji hata utafiti mana lipo waziii kama biashara ya mifugo.
 
Sawa.ila usijumuishe.
Hiyo ndio point yangu
 
Sasa huo umalaya ameuonaje kwa hao mabinti au naye wivu tu na akili kiduchu namuonaga! Ni kweli kuna mabinti vyuo wanajiuza ila sio wote inategemea malezi na jinsi anavojithamini mtu, vyuo watu tumepita tabia zinatofautiana kama tunavyoishi mtaani humu.
 
Aisee huyu jamaa hata akiwa anaongea utumbo mimi najikuta namsikiliza mpaka mwisho, sijui ni jinsi anavyowasilisha ujumbe wake na anavyoongea
 
Kwamba 99% ya mabinti wa vyuoni wanajiuza.

Au mimi sikupitia chuo

Maana kwenye kuendekeza relationships ni kawaida sana ila kuwa wanajiuza kwa kiwango hicho... Nakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…