ngafu.fijo
JF-Expert Member
- Oct 3, 2015
- 1,237
- 1,099
Sio.Kwan bangi sio dawa za kulevya?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio.Kwan bangi sio dawa za kulevya?
Jaribu kupita nazo airport siku moja alafu ndio utajua kama ndio au sio!!Sio.
Nadhani shetta alistisha kujiita mambaHivi alishampiga shetta?!
Ayo mengine utajua mwenyewe ....ila kikubwa marijuana sio madawa ya kulevyaJaribu kupita nazo airport siku moja alafu ndio utajua kama ndio au sio!!
Haiwamalizi kimwili na kiakili.Kwan bangi sio dawa za kulevya?
zipo, hadi za pombe pia zipoKwan kuna rehab ya bangi
Haiwamalizi kimwili na kiakili.Kwan bangi sio dawa za kulevya?
Hivi alishampiga shetta?!
Hivi chid hawezi kutaja waliokuwa nawamwuzia madawa nao wakamatwe
Nilikuwa mbali na mitandao kidogoAmpige kwa nini wakati Shetta katii amri!
Kaacha kujiita mamba siku hizi.