Dudubaya: Watu mfano wa Chidi Benzi hawatakiwi kusaidiwa

Dudubaya: Watu mfano wa Chidi Benzi hawatakiwi kusaidiwa

Dudu hajui konyagi sio nzur kwa afya Mbona yy kila siku anakunywa pale the kiss?
 
Dudu kaongea kama sio Mtanzania (Mnafiki). Sasa hivi kijana yoyote anaeingia kwenye Madawa huwa anajua kabisa madhara yake ikibidi tuwapotezee, Mwanzoni nilikuwa na Mawazo tofauti ila Dudu Baya kanishawishi kuwa na mawazo kama yake.
 
Hivi chid hawezi kutaja waliokuwa nawamwuzia madawa nao wakamatwe
nadhani ubongo wako utakua umepasuka, je kwani hayo madawa wakati anauziwa alikua below 18..??vitu vingine ukiwa mtu mzima inabidi ujipime na kuweza kusoma alama za nyakati..zaidi ya hapo utaishia kuwa bendera au nyumbu..
 
Hivi chid hawezi kutaja waliokuwa nawamwuzia madawa nao wakamatwe
Hii serikali yetu upambanaji na madawa wa kulevywa bado upo midomoni tu sio katika utekelezaji..Unaweza kuwataja na kisifanyike chochote..Ukaishia kujenge chuki tu na watu..Imagine unamtaja boss wako halafu still upo nae uraiani deile..Unategemea nn...Mbona majina mengi tu yameshatajwa lakini hatuoni kinachofanyika
 
Back
Top Bottom