Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi alishampiga shetta?!
nadhani ubongo wako utakua umepasuka, je kwani hayo madawa wakati anauziwa alikua below 18..??vitu vingine ukiwa mtu mzima inabidi ujipime na kuweza kusoma alama za nyakati..zaidi ya hapo utaishia kuwa bendera au nyumbu..Hivi chid hawezi kutaja waliokuwa nawamwuzia madawa nao wakamatwe
Hii serikali yetu upambanaji na madawa wa kulevywa bado upo midomoni tu sio katika utekelezaji..Unaweza kuwataja na kisifanyike chochote..Ukaishia kujenge chuki tu na watu..Imagine unamtaja boss wako halafu still upo nae uraiani deile..Unategemea nn...Mbona majina mengi tu yameshatajwa lakini hatuoni kinachofanyikaHivi chid hawezi kutaja waliokuwa nawamwuzia madawa nao wakamatwe
Dudu kwakuwasema wenzie anajua