Dudubaya: Watu mfano wa Chidi Benzi hawatakiwi kusaidiwa

nadhani ubongo wako utakua umepasuka, je kwani hayo madawa wakati anauziwa alikua below 18..??vitu vingine ukiwa mtu mzima inabidi ujipime na kuweza kusoma alama za nyakati..zaidi ya hapo utaishia kuwa bendera au nyumbu..

tatizo la mtu asiyeelewa vitu kama wewe unaweza jibu hivyo.........pole umesoma kama unaumwa tumbo la kudrive sio rahisi kuelewa nilimaanisha nini
 
tatizo la mtu asiyeelewa vitu kama wewe unaweza jibu hivyo.........pole umesoma kama unaumwa tumbo la kudrive sio rahisi kuelewa nilimaanisha nini
Wapi wewe huna lolote mnyonge wa fikra tuu..wewe ndio huelewi....hakuna unachojua zaidi ya kwenda haja kubwa na ndogo maa ni .a
 
Pamoja na mapungufu ya dogo Chid, ni wakati sasa wa kumpa maneno ya kumtia nguvu sio kumvunja moyo mtu ambaye hajawahi kukosea awe wa kwanza kumpiga mawe.
 
Pamoja na mapungufu ya dogo Chid, ni wakati sasa wa kumpa maneno ya kumtia nguvu sio kumvunja moyo mtu ambaye hajawahi kukosea awe wa kwanza kumpiga mawe.
Huyo jamaa hapaswi kuonewa huruma. Alishawahi kumpiga Ray C kisa mdada kamshauri aache madawa. Pia alishawahi kumpiga Profesa Jay. Ni mtu mpuuzi kama Dr Rutengwe. Hata huko rehab kashasema ni lazima washkaji wakamtembelee hiyo ni ktk kujiona yeye bora ingawa anasaidiwa. Na hata kwa kumuangalia tu usoni kwenye hizo media ni mtu ambaye hajajutia kwa dhati makosa yake.
 
Dudu amekuwa na akili nzuri hivi he hit apoint basi nae asaidiwe arudishwe kwenye game mimeno kama ngiri [emoji203] nakupenda tuu hny hny
 
kaongea kama trump!!! ukweli ambao ni ngumu kumesa!!!!! jamaa naye ana masharti " wana wasiache kwenda kumcheki kumtia nguvu" bila wana maana hataweza.... ??
 
BABU TALE anasema chid atakaa mwezi mmoja rehab alafua atakuwa pouwa ...nadhani anatania ..watu wanakaa mwaka mmoja na wanapata tabu bado na wakikaa muda wanarudia ...ndio iwe mwenzi mmoja.joke.


mwezi mmoja kidding!!? ray c anahangaika mwaka wa ngapi sasa??
 
Akiongea leo ndani ya ladha 3600 ya efm Dudu Baya amesisitiza Chidi atakiwi kusaidiwa anatakiwa aachwe ajifie ili iwe funzo kwa wasanii wengine.


Amesisitiza Chidi anatakiwa aachwe asubiri kifo kimchukue.

Mwana FA alikuwa studio akatoa comment yake kwamba Dudu ni kichaa na mjinga ndio maana anazungumza upuuzi kama huo. Watu wanafanya makosa ila atuwezi fikia kutamka maneno kama hayo kiubinadam.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…