wambura marwa
JF-Expert Member
- Mar 7, 2015
- 2,172
- 1,128
Basi shetta ijiite kiboko mtata zaidi ya mambaAmpige kwa nini wakati Shetta katii amri!
Kaacha kujiita mamba siku hizi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi shetta ijiite kiboko mtata zaidi ya mambaAmpige kwa nini wakati Shetta katii amri!
Kaacha kujiita mamba siku hizi.
nadhani ubongo wako utakua umepasuka, je kwani hayo madawa wakati anauziwa alikua below 18..??vitu vingine ukiwa mtu mzima inabidi ujipime na kuweza kusoma alama za nyakati..zaidi ya hapo utaishia kuwa bendera au nyumbu..
Wapi wewe huna lolote mnyonge wa fikra tuu..wewe ndio huelewi....hakuna unachojua zaidi ya kwenda haja kubwa na ndogo maa ni .atatizo la mtu asiyeelewa vitu kama wewe unaweza jibu hivyo.........pole umesoma kama unaumwa tumbo la kudrive sio rahisi kuelewa nilimaanisha nini
Huyo jamaa hapaswi kuonewa huruma. Alishawahi kumpiga Ray C kisa mdada kamshauri aache madawa. Pia alishawahi kumpiga Profesa Jay. Ni mtu mpuuzi kama Dr Rutengwe. Hata huko rehab kashasema ni lazima washkaji wakamtembelee hiyo ni ktk kujiona yeye bora ingawa anasaidiwa. Na hata kwa kumuangalia tu usoni kwenye hizo media ni mtu ambaye hajajutia kwa dhati makosa yake.Pamoja na mapungufu ya dogo Chid, ni wakati sasa wa kumpa maneno ya kumtia nguvu sio kumvunja moyo mtu ambaye hajawahi kukosea awe wa kwanza kumpiga mawe.
Bado ila yupo hatua za mwisho.2.0 GPmwishot: 15683784 said:Hivi alishampiga shetta?!
Hiyo inaitwa 2 O'clock .Mkuu hiyo GPA hahaha....hatari sana itakuwa una kalai za kuzidi B
Kwa akili za dudu HIV hatumii [emoji260]Dudubaya amenena kweli tupu...
Dhamira ni kitu muhimu sana. Ianze kw hao wasanii wote Kupiga vita huo unga.
Wawe serious!
Nimemuelewa dudubaya
Tatizo wa tanzania wengi wetu hatupendi kuambiwa ukweliUkweli mchunguuuu
BABU TALE anasema chid atakaa mwezi mmoja rehab alafua atakuwa pouwa ...nadhani anatania ..watu wanakaa mwaka mmoja na wanapata tabu bado na wakikaa muda wanarudia ...ndio iwe mwenzi mmoja.joke.
Ahahahahahaaaaaaaaaaaa umenifanya nicheke sana mkuuMkuu hiyo GPA hahaha....hatari sana itakuwa una kalai za kuzidi B