Renegade JF-Expert Member Joined Mar 18, 2009 Posts 7,221 Reaction score 6,940 Sep 21, 2016 #21 King Kong III said: Mkuu sio fresh kuwaingiza mkenge watu,subaru forester ni gari bomu kuliko gari zote ni bomu zaidi ya CRV honda,siwashauri kununua hayo magari yani mda wowote unalipaki na linageuka banda la kuku,labda mshamba wa gari ndio atanunua......ngumu kumesa Click to expand... Mkuu umeshawahi kumiliki HONDA CRV? Ni gari nzuri sana.
King Kong III said: Mkuu sio fresh kuwaingiza mkenge watu,subaru forester ni gari bomu kuliko gari zote ni bomu zaidi ya CRV honda,siwashauri kununua hayo magari yani mda wowote unalipaki na linageuka banda la kuku,labda mshamba wa gari ndio atanunua......ngumu kumesa Click to expand... Mkuu umeshawahi kumiliki HONDA CRV? Ni gari nzuri sana.
NetworkEngineer JF-Expert Member Joined Jun 21, 2012 Posts 1,952 Reaction score 1,181 Sep 22, 2016 #22 Hivi vigari Mazda Demio vikoje..ulaji wa mafuta upatikanaji wa spare parts na ugumu wake