Duh! Africa bado safari ni Ndefu: Safari kutoka Addis hadi Nairobi


Unaziona kwa papers kwa sababu umezoea narratives za kukaririshwa huko kwa MaCCM, tunawazidi kwa paved and unpaved roads by thousands of kilometers, licha ya nchi yenu kuwa na rotuba nzuri na makazi kote kote, sisi kwetu kaeneo kadogo ndiko kana rotuba na makazi, kwengine huko jangwa tupu lakini tunawazidi kielimu, kijeshi, kiuchumi, na kila kitu, mpo ovyoo sana, inafaa muanze kupata aibu kwa kweli, pia mumetujazia omba omba huku hadi kero.
 
More tourists coming to Nairobi in all manners of transport
 
Nmeiangalia, ndio mjirekebishe basi
 
Nmeiangalia, ndio mjirekebishe basi

Elekeza wapi pakujirekebisha, usifyatuke tu ilmradi, wapi kuna kasoro maana upande wa Kenya jamaa hajawa na tatizo lolote la barabara.
 
Rudi shule
 
Mleta uzi jitahidi kabla ya kuleta nyuzi humu uwe unafanya kautafiti kwanza, alafu tabia yenu mkiwa na barabara mbovu au matatizo huko mnahusisha Africa nzima mkome,
Ona sasa ulivofunguliwa akili hapa 😂😂😂
 

Bado hujanijibu swali mzee mzee, hayo mambo ya Rutuba sijui yameingiaje hapa
Tuoneshe barabara zinazounganisha Somalia na Sudan,
 
Mleta uzi jitahidi kabla ya kuleta nyuzi humu uwe unafanya kautafiti kwanza, alafu tabia yenu mkiwa na barabara mbovu au matatizo huko mnahusisha Africa nzima mkome,
Ona sasa ulivofunguliwa akili hapa 😂😂😂

Ndiyo tatizo la ndugu zetu hawa, kila kitu kisichowezekana au kukosekana Kenya wanadhani ni pia hakiwezekani au hakipo Afrika au East Africa nzima.

Shukrani JamiiForums inatoa nafasi kujifunza ukweli wa mambo na kupata elimu endelevu, bila kudanganya juu ya hali halisi iliyopo ktk nchi au ukanda wa jumuiya mbalimbali za Afrika.

Cheki jamaa yetu wa Kenya akishangaa treni ya TAZARA na ya Rovos zikipishana mkoani Mbeya nyanda za juu kusini mwa Tanzania. Ile ya Rovos ikitokea Cape Town South Africa kuelekea Dar es Salaam, Tanzania na ya TAZARA ikitoka Dar es Salaam kwenda New Kapiri Mposhi, Zambia.
Source: Kenyan backpacker
 
Ndio shida yao kubwa hiyo,
Wanasuffering na inferiority complex 😂😂😂
 
Year 2016
Now, imagine this…. Driving for 3,000 kilometers all the way from Lubumbashi City in the Democratic Republic of Congo to Nairobi. Yes Wilbur Mutiva, a Kenyan businessman frequently does that instead
 
Wakenya wenzako wakishangaa Barabara za tz kuelekea tanga, ukizingatia tz inamikoa mingi kuliko Kenya na imepakana na nchi nyingi kuliko Kenya na mikubwa kuliko Kenya ila barabara ni safi mkeka wa kupendeza
Km huu hapa
 
Africa au Kenya?...
Zipo nchi upande wa barabara wanafanya vizur at wamefanya vizur na hawapigi kelele
Wakenya wenzako wakishangaa Barabara za tz kuelekea tanga, ukizingatia tz inamikoa mingi kuliko Kenya na imepakana na nchi nyingi kuliko Kenya na mikubwa kuliko Kenya ila barabara ni safi mkeka wa kupendeza
Usiseme Africa, Sema Kenya bado sana,
Nashangaa 2019 bado hamjafungua hiyo Boarder, Huo ndio uvivu wenyewe.

Kama ingekua mliangalia Video mngekua mliona kwamba upande wa Kenya, Shida ilikua si barabara....


Hapo kwa video walionyesha wakivuka mpaka na kuingia Kenya, Border Upande wa Keenya inakaa hivi, Hii picha imechukuliwa from Ethiopia side looking at the Kenyan side




Barabara ya kuelekea Ethiopia upande wa Kenya inakaa hivi...... Hii barabara ni 500km hadi kwa border ya Ethiopia




Lapsset secretariat inspecting the road






















 

Bando la intaneti nilonalo si la kitoto nimeangalia video mwanzo mpaka mwisho. Tatizo kichwa cha habari kuonesha Africa nzima kuna tatizo ila Kenya, wakati siyo kweli kuna kanda za Afrika kuanzia Tanzania kwenda mpaka Kusini Afrika ya kusini miundo mbinu ya barabara ipo safi kuunganisha nchi zote za SADC zilizopo bara.
 
Anza na kumjibu hii posti 👇
 
Jamaa wanafikiria kenya ilipewa tittle ya middle income kihuni huni..
Hyo border upande wa kenya ipo vizuri, tatizo ni ule upande mwngine..
 
Pia na kupitia sirari mura,uko linear sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…