Mbona nilishasema (kama ambavyo husema siku zote) kuwa haiwezekani (a.k.a, BIG NO) with or without strings??
Au jibu gani jingine tena ADi??
Babu DC!!
hongera babu DC
with or without hutaki?
Kweli bibi DC kajiopolea mwana ndama aliyenona.
Sie wa miaka ile ya 1947, tunaona haya mambo yamekaa kibangi bangi tu!!
Babu DC!!
Nikupe namba ya Bibi usikie kutoka kwenye Horse's mounth?
Ila ruhusa ya kutukuza uumbaji alinipa enzi za ujana wetu kwa sharti kwamba nampa feedback!!!
Babu DC!!
Husyn, hata wewe huwezi hii?
Si ndo yaliwakuta na Uporoto.
Kutokana na njaa ya ajabu nilokuwa nayo nimeshindwa kupitia hii sredi yote, naomba summary ili niweze kutoa mchango wangu wa kimataifa
it's possible, especially when neither partner is interested in commitment, you just remain f..k buddies,kuhusu health risk it's obvious if you are f buddies you have to always protect yourself. Moyo hauumi kwa sababu mmekubaliana hivyo kwa hiyo hata akiwa na mtu ukajua haiumi kabisaaaa.
si ndio maana nilishindwa kila mtu akachukua fifty zake. Haya makitu labda kama umezaliwa huna hisia.
he he he, una bahati
ntakuja kujifunza kwa bibi DC jinsi ya kuhandle haya mambo.
Anaonekana kahitimu.
Haiumi kabisaaa? Siamini. Labda mwenya roho ya jiwe.
Hahahaahhaha....somo utaliweza?
Mie na Bibi tulitengenezwa enzi zile na kiwanda kilichotufyatua kilishafungwa!!
Kama zile baiskeli za Raleigh!!
Babu DC!!
In short,
Unakuwa na mtu ambaye mnangonoka mara kwa mara ila hakuna anayemmiliki mwenzake labda wakati mnajirusha tu!!
Hata ukikuta kakabwa na vibaka weye unapita tu kama hujamuona!!
Unayaweza hayo loya wetu?
Babu DC!!
he he, hata moyo wa chuma siku moja utaongea aisee.
na wewe kwa nini ulikubali kuanzia mwanzo?
Au hukujua kama inauma?
Hahahahahahahahah,
Kumbe na wewe una roho nyepesi ehhhhhhhhhhhh???
Kimekupata nini Koku?? (Au yule mshikaji karudisha majeshi...lol)!!
Babu DC!!