Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

hongera babu DC

with or without hutaki?
Kweli bibi DC kajiopolea mwana ndama aliyenona.

Mbona nilishasema (kama ambavyo husema siku zote) kuwa haiwezekani (a.k.a, BIG NO) with or without strings??

Au jibu gani jingine tena ADi??

Babu DC!!
 
hongera babu DC

with or without hutaki?
Kweli bibi DC kajiopolea mwana ndama aliyenona.

Nikupe namba ya Bibi usikie kutoka kwenye Horse's mounth?

Ila ruhusa ya kutukuza uumbaji alinipa enzi za ujana wetu kwa sharti kwamba nampa feedback!!!

Babu DC!!
 
he he he, una bahati
ntakuja kujifunza kwa bibi DC jinsi ya kuhandle haya mambo.

Anaonekana kahitimu.

Nikupe namba ya Bibi usikie kutoka kwenye Horse's mounth?

Ila ruhusa ya kutukuza uumbaji alinipa enzi za ujana wetu kwa sharti kwamba nampa feedback!!!

Babu DC!!
 
Daaah,aina hii kwangu inaweza ikaniua coz mimi ukinivulia nguo tuu,wivu huanza na mara nyingi nimejikuta naumia,i dont know nitarekebika vipi,yaani ninatendense ya kumwamini mwanamke na kumpenda haraka sana!!!
 
Kutokana na njaa ya ajabu nilokuwa nayo nimeshindwa kupitia hii sredi yote, naomba summary ili niweze kutoa mchango wangu wa kimataifa

In short,

Unakuwa na mtu ambaye mnangonoka mara kwa mara ila hakuna anayemmiliki mwenzake labda wakati mnajirusha tu!!

Hata ukikuta kakabwa na vibaka weye unapita tu kama hujamuona!!

Unayaweza hayo loya wetu?

Babu DC!!
 
it's possible, especially when neither partner is interested in commitment, you just remain f..k buddies,kuhusu health risk it's obvious if you are f buddies you have to always protect yourself. Moyo hauumi kwa sababu mmekubaliana hivyo kwa hiyo hata akiwa na mtu ukajua haiumi kabisaaaa.

Haiumi kabisaaa? Siamini. Labda mwenya roho ya jiwe.
 
si ndio maana nilishindwa kila mtu akachukua fifty zake. Haya makitu labda kama umezaliwa huna hisia.

Na moyo wako uwe umetengenezwa kwa mawe...tena yale magumu kabisa, kuyapasua lazima uyachome na moto!!

Babu DC!!!
 
he he he, una bahati
ntakuja kujifunza kwa bibi DC jinsi ya kuhandle haya mambo.

Anaonekana kahitimu.

Hahahaahhaha....somo utaliweza?

Mie na Bibi tulitengenezwa enzi zile na kiwanda kilichotufyatua kilishafungwa!!

Kama zile baiskeli za Raleigh!!

Babu DC!!
 
na wewe kwa nini ulikubali kuanzia mwanzo?

Au hukujua kama inauma?

si ndio maana nilishindwa kila mtu akachukua fifty zake. Haya makitu labda kama umezaliwa huna hisia.
 
ntaweza tu
unadhani na mie wa juzi

mafungu ya miaka kumi kumi yamesogea sana.
Basi tu jf inatulindia sura.

Hahahaahhaha....somo utaliweza?

Mie na Bibi tulitengenezwa enzi zile na kiwanda kilichotufyatua kilishafungwa!!

Kama zile baiskeli za Raleigh!!

Babu DC!!
 
In short,

Unakuwa na mtu ambaye mnangonoka mara kwa mara ila hakuna anayemmiliki mwenzake labda wakati mnajirusha tu!!

Hata ukikuta kakabwa na vibaka weye unapita tu kama hujamuona!!

Unayaweza hayo loya wetu?

Babu DC!!

hehehe mkuu mstaafu mimi bana wivu wangu hata nzi akimgusa waifu basi nahakikisha namuua achilia mbali dume linalolala likakoroma, sasa hizi string no attached nazani tumwachie kongosho.
 
he he, hata moyo wa chuma siku moja utaongea aisee.

Hivi hao wa NSA huwa hawaambiane uongo wenu ule wa egoli egoli au Bongo movies???

Ohhhhhhhhh, mara I love you sooo much, more than a chorcolate......eti you are so sweet....wengine hadi wanawafool wenzao kwamba Mungu alimalizia kazi ya kuumba hapo hapo na kustaafu???????!!!!

Na bila hivyo, ina maana wanakuwa kama wako library wanakata kitabu?

Unajua nimeshindwa kabisa kuelewa!!

Babu DC!!
 
Hahahahahahahahah,

Kumbe na wewe una roho nyepesi ehhhhhhhhhhhh???

Kimekupata nini Koku?? (Au yule mshikaji karudisha majeshi...lol)!!

Babu DC!!

Babu, vipo vitu vya kushare lakini si malovedave.
Yani mimi tukishavuliana nguo, means rope attached, hiyo string ndogo. Moyo wangu plastic.
Babu arudi wapi? Am all alone and am happy.
 
Back
Top Bottom