Duh, eti 'No strings attached'??!!! Ya kweli haya!

babu kimsingi nimekuelewa ila nilichotaka kuonesha hapo kwenye mfano wangu ni kuwa km unaweza kuwa na nyumba ndogo hlf inatambua upo kwenye nyumba kubwa na ikaheshimu physically ,emotionally na financially ......na pia km hayo makabila mtu akakupa mke wake ulale naye hata km ni kwa 1 night stand na akakubali physically ,emotinally na financilly ni kwanini usiamini kuna watu wanaweza kupractise hiyo NSA?
NA MIMI SIKATAI KUNA NSA NYINGI ZILIZOSHIFT KWENDA KWENYE FULL RESPONSIBLE R/SHIP NA ZINGINE MPAKA MARRIAGE KABISA NA KUNA ZINGINE ZIMEISHIA HAPO HAPO KWENYE NSA na watu wanapeta.
 
Hii mbona kuna commitment? Huo urafiki sio commitment?
Uhusiano with no strings attached bila commitment utafanikiwa kweli? Kwa mfano sex with no strings attached, the sex itself si ndio commitment? Lazima kuwe na commitment toka kwa pande zote mbili ili kuwa na uhusiano wa aina hiyo. No commitment, no such a relationship or sex.
 
Dah, kuelewa mahusiano ya binadamu ni kitu kigumu sana kwangu.
Ngoja nidegest kwanza, ntauliza baadae.

 
Reactions: EMT
Mara ya kwanza sawa, mkirudia 2, 3 bado inawezekana?



Hii mbona kuna commitment? Huo urafiki sio commitment?

Mmmh inawezekana labda mmoja aanze kuchukulia serious..thats when it all goes wrong!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…