Duh! Hawa waarabu wa Sudan wameamua kuitia nchi yao kiberiti, wanapigana mpaka basi

Waziri wa Sultani Zanzibar anavyomsema Nyerere wakati alipokuwa anakuja Zanzibar kuanzisha ASP 1957 tarehe 5 February.
Ukombozi wa zenji ulitoka mbali na kwa gharama kubwa ya Tanganyika.
 
Kwanini mkuu ?

Hivi Congo wanagombania nini hasa ?
Kinachowagombanisha ni dhambi ya kukana asili yao ya uafrika na kujiita WAALABU.

Baada ya kuwaua Waafrika wenzao kwa miaka 40 sasa wamegeukana hasa kila mmoja akijiona ndie aliefanya kazi ya kuisafisha Sudan kuwa nchi ya Kiarabu.
Mfano, RSP jeshi hili la waasi au wanamgambo wanaopigana na jeshi la kawaida la Sudan (Sudan Army).

Hawa wanamgambo ni kama jeshi usu lilitengenezwa na Rais wa zamani Omar Bashir ili isafishe Sudan kuondoa ngozi nyeusi popote na haswa DARFUR mikoa ya weusi, wauliwe au wapigwe hadi wahamie Chad, Sudan iwe ya Kiarabu tu.

Hivyo RSF waliwezeshwa kuliko jeshi kongwe, wana silaha nyingi na za kisasa, wana pesa, migodi ya dhahabu, raslimali watu nk nk.
Baada ya nchi kutokuwa na serikali tena ya kiraia tangu Bashir apinduliwe nao wenyewe makundi yote mawili yaliposhirikiana 2019, sasa kila jeshi litaka litawale au liwe ndio muhimu.
Akili zao kama hawa hawa Wazenji
 
Wote waislamu weusi kama mkaa ila hujiita na kujifanya WAALABU ni kama tu hawa nyani wazenji wenye asili ya Congo nao wanajiita WAALABU wamesahau lift tu iliowaleta ya Tippu Tipp.
Harafu wazenji hawana hata dalili ya uarabu bora hata warangi na wairaq angalau wana ka ushombe shombe
 
Ukizifanyia utafiti DNA za wasudani unaweza kukuta wao siyo binadamu wa sasa.
 
We nguruwe kafanye shughuli zako, wacha serikali ifanye kazi zake siyo unafuata mkumbo km nyumbu wa Serengeti hata huelewi kinachoendelea
Kuna siku utanitafuta uniamkie lakini itakua too late.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…