Duh! Hii video inatia huruma, kuna Watanzania wanaishi maisha ya tabu sana, mbona hivi kwa kweli

Duh! Hii video inatia huruma, kuna Watanzania wanaishi maisha ya tabu sana, mbona hivi kwa kweli

They should take the government to court for compensation. That is a violation of their rights.
 
Mbona tz ni kubwa mno wapelekwe hata mtwara wakakae huko
 
Aisee nimeona video ya kibera kwenye runinga ya K24 kuna uchochole/umaskini wa hali ya juu yani watu wanasubiri vitu vilivooza na kutupwa sokoni nao wanaokota kwenda kuuza tena duh
Umaskini upo kila sehemu
 
Hiyo tabu ni ya muda tu soon watapiga dili nyingine na watajenga hapo hapo kinondoni






We mkenya niamini mimi yatakwisha
 
Back
Top Bottom